Huja
JF-Expert Member
- Aug 7, 2021
- 849
- 1,325
Nimetazama mechi za simba dhidi ya Coastal union leo na nimegundua yafuatayo:
simba haina mipango ya ufundi utafutaji wa goli. Sawa kuna juhudi ila kila sriker inapaparika huoni mbinu, akili. Mfano ni namna Dilunga anavyokimbia ktk 18 area Hana ubunifu. Hali kadhalika Kibu Dennis anakimbia tu bila ya kuangalia movements ya wenzake.
Bwaliya si mbaya ila nae anahitaji mafundi wenzake waliomzunguka. Nafasi zilikuwapo si kwamba defence ilikuwa solid lakini ni simba iliyokosa nn cha kufanya.
Nimeona impact kubwa ya Mkude, namna anavyoituliza kwa pasi za kutawanya fupi fupi tofauti na Kanoute ambaye ni pasi ndefu za haraka nyingi zinazopotea . Boko bado ni aina ya forward lazima apenyezewe. Nani afanye hivyo. Kapombe anapanda lakini kross zake hazinaga msaada ..huwa anapiga tu gombania goli.
Kongole kubwa kwa beki Inonga ..classic defense.
Marekebisho ya haraka yanahitajika jinsi ya kuitengeneza attacking force..na hapa tunahitaji kocha maarifa haraka na mapema sana..