Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 141,296
- 283,245
Aiseeeee !!!Wewe unataka jina liheshimiwe wakati wenzako wanataka rekodi ya kushinda mechi nyingi kabla ya ligi. Kesho watacheza mechi ya kirafiki na bodaboda wa kwa mama john mwakangale.
This is another level
Ivooo kumbe ndo venyewe ilikuwa?Ni kweli kwamba kapuku hana thamani, lakini wakati mwingine umasikini tunajitakia tu , kwa umati wa wanachama na wapenzi wa simba nchi nzima timu hii haistahili kuitwa masikini, kama tutapata oganaiza mzuri mwenye ujuzi na mfia Simba, basi timu hii itaweza kujikimu na hivyo kuondokana na dhiki inayolazimika timu yetu kutumika hata kwenye mambo yasiyostahili kwa vile tu anayeitwa mwenye Simba yake anatumika.
Simba si timu ya kucheza bure , ambapo pamoja na kutangaza bure bado ikakosa watazamaji, hili ililofanyiwa timu ya simba ni aibu inayotufanya sisi wanasimba wengine tuinamishe vichwa chini kwa aibu, mara kadhaa nimejipambanua humu kupinga magumashi kwenye uendeshaji wa timu lakini nimeishia kubezwa na kutukanwa, bali sasa uvumilivu umefika kikomo, Simba irudishwe kwa wenyewe.
Kwani Mo na Haji wanatofautiana nini zaidi ya hela?Sasa kama mshauri wenu mwandamizi ni Bashite na manara unategemea msidhalilike kweliView attachment 1555456
Tofauti ni hela tu tena usikute Haji ana kampita mo akili ndo mana wanapiga helaKwani Mo na Haji wanatofautiana nini zaidi ya hela?
Akili yao ni hiyo hiyo
Naunga mkono hoja....this is too much ,hii sio Simba!Ni kweli kwamba kapuku hana thamani, lakini wakati mwingine umasikini tunajitakia tu , kwa umati wa wanachama na wapenzi wa simba nchi nzima timu hii haistahili kuitwa masikini, kama tutapata oganaiza mzuri mwenye ujuzi na mfia Simba, basi timu hii itaweza kujikimu na hivyo kuondokana na dhiki inayolazimika timu yetu kutumika hata kwenye mambo yasiyostahili kwa vile tu anayeitwa mwenye Simba yake anatumika.
Simba si timu ya kucheza bure , ambapo pamoja na kutangaza bure bado ikakosa watazamaji, hili ililofanyiwa timu ya simba ni aibu inayotufanya sisi wanasimba wengine tuinamishe vichwa chini kwa aibu, mara kadhaa nimejipambanua humu kupinga magumashi kwenye uendeshaji wa timu lakini nimeishia kubezwa na kutukanwa, bali sasa uvumilivu umefika kikomo, Simba irudishwe kwa wenyewe.
Arusha, Mbeya wanajielewa sana.Yaan mmecheza bure na watu wakaenda kwa TAL! Machalii wa Chuga nimewakubali
Arusha, Mbeya wanajielewa sana.
Endelea kusubiri hapo hapo simba kurudishwa kwa wenyewe, kichwa chako kibovu una relate kila kitu na siasa, siasa imekuharibu kichwa jitathimini na jitafakariNi kweli kwamba kapuku hana thamani, lakini wakati mwingine umasikini tunajitakia tu , kwa umati wa wanachama na wapenzi wa simba nchi nzima timu hii haistahili kuitwa masikini, kama tutapata oganaiza mzuri mwenye ujuzi na mfia Simba, basi timu hii itaweza kujikimu na hivyo kuondokana na dhiki inayolazimika timu yetu kutumika hata kwenye mambo yasiyostahili kwa vile tu anayeitwa mwenye Simba yake anatumika.