grafani11 JF-Expert Member Joined May 24, 2011 Posts 15,441 Reaction score 5,820 Apr 8, 2015 #61 Kapwila Matulu said: Mpiga ramli, bado unatetea kauli yako? Au ninyi ndio wale wanaojidai kutabiri kwa kufuatana na mwenendo wa wakati huo tu? Ningependa uje hapa utetee hoja yako Click to expand... Kosa la mganga wao Bagamoyo badala ya kuiona Mtibwa kwa u-fake wake akaiona Simba. Ndiyo maana kila wakjenda Bagamoyo tunawahemea kisogoni tu.
Kapwila Matulu said: Mpiga ramli, bado unatetea kauli yako? Au ninyi ndio wale wanaojidai kutabiri kwa kufuatana na mwenendo wa wakati huo tu? Ningependa uje hapa utetee hoja yako Click to expand... Kosa la mganga wao Bagamoyo badala ya kuiona Mtibwa kwa u-fake wake akaiona Simba. Ndiyo maana kila wakjenda Bagamoyo tunawahemea kisogoni tu.
Luvanga1 JF-Expert Member Joined Jun 5, 2014 Posts 2,025 Reaction score 1,710 Apr 9, 2015 #62 hiyo ndoto ya mchana utashuka wewe