simba imeukalia ngapi leo jamani?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

simba imeukalia ngapi leo jamani??

Discussion in 'Sports' started by BASIASI, Feb 4, 2012.

 1. BASIASI

  BASIASI JF-Expert Member

  #1
  Feb 4, 2012
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 3,102
  Likes Received: 341
  Trophy Points: 180
  ndugu zanguni
  nimesikia tu mwishoni mtangazaji akiwapa simba pole
  embu tusaidiane imefungwa ngapi mpaka akatuzalilisha hivi mtangazaji wa clouds??
   
 2. Chimo

  Chimo JF-Expert Member

  #2
  Feb 4, 2012
  Joined: Aug 31, 2008
  Messages: 668
  Likes Received: 202
  Trophy Points: 60
  Kakikalia kimoja tu kwa waburuza mkia villa squad asante kwa nsa job
   
 3. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #3
  Feb 5, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,163
  Likes Received: 5,590
  Trophy Points: 280
  yaalaaahhh yashababiiii mhh mpira auna adabu kweli kwa villa loh
   
 4. Kigarama

  Kigarama JF-Expert Member

  #4
  Feb 5, 2012
  Joined: Apr 23, 2007
  Messages: 2,479
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  kweli mpira hauna adabu ilikuwaje tukawashindilia bao sita mwaka uleee!!?
   
Loading...