DELETED ACCOUNT
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 9,805
- 15,476
Haujalazimishwa uchangie. Unataka tujadili reform kwenye jukwaa la michezo?Simba akipewa ndege ndo watoto watapata madawati
Acha tujadili vitu vya msingi, sio kila saa mamipira
No reform no election'
Samia awape pesa Simba wakaruke hospital hazina madawaHaujalazimishwa uchangie. Unataka tujadili reform kwenye jukwaa la michezo?
Matako yako Kagera ni masikini nunueni madawati ya watoto wenuSimba akipewa ndege ndo watoto watapata madawati
Acha tujadili vitu vya msingi, sio kila saa mamipira
No reform no election'
Ikipewa uto unapiga kimya, ikipewa Simba unang'akaSamia awape pesa Simba wakaruke hospital hazina madawa
Hata Yanga akipewa pesa na Rais naona ni ujinga na siasa nyepesi na unafikiIkipewa uto unapiga kimya, ikipewa Simba unang'aka
Cha msingi uwe unatoa malalamiko hayo pale uto inapopewa misaada hiyo ili tusikuone mnafkiHata Yanga akipewa pesa na Rais naona ni ujinga na siasa nyepesi na unafiki
Yanga na Simba hazina shida ya huo msaada, Kuna hospital wamama wanakufa wanajifungia Kwa kukosa vida halafu hizo pesa walizopewa Simba zingeleta Suluhu
Huwa nakemea huu unafiki mara zoteCha msingi uwe unatoa malalamiko hayo pale uto inapopewa misaada hiyo ili tusikuone mnafki
nenda jukwaa linalokufaa kwa muda huu huku hapakufaiSimba akipewa ndege ndo watoto watapata madawati
Acha tujadili vitu vya msingi, sio kila saa mamipira
No reform no election'
No reform no electionnenda jukwaa linalokufaa kwa muda huu huku hapakufai
sawaNo reform no election
wakati huo uko kwa shemeji umejitanua NRNE ????No reform no election
Katiba mpyawakati huo uko kwa shemeji umejitanua NRNE ????
Hiko kitu nikikumbuka mpaka leo kinanishangaza sana. Mashabiki wa uto walisafirishwa siku kadhaa kabla ya mechi wakalipiwa usafiri, chakula na malazi kwa kipindi chote na ndege ilikaa inawasubiri na wakashindwa kurudi na kombe.Simba kwenye fainali ya CAF miaka ile ya walijisafirisha wenyewe kwenda Abijan, Ivory Coast na kurudi kwa gharama zao.
Uto omba omba wao waliomba ndege, kwa kuonewa huruma wakapewa ndege yetu wakasafiri nayo, ikawasibiri siku mbili ipo tu Airport Algeria na kuwarudisha Dar.