R rodrick alexander JF-Expert Member Joined Feb 12, 2012 Posts 18,299 Reaction score 26,123 Dec 7, 2021 #1 Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, tayari Simba imepata kocha mpywa wa makipa kuziba nafasi ya aliyekuwa kocha wa makipa kuondolewa. Maelezo zaidi yatakuja baadae
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, tayari Simba imepata kocha mpywa wa makipa kuziba nafasi ya aliyekuwa kocha wa makipa kuondolewa. Maelezo zaidi yatakuja baadae
Scars JF-Expert Member Joined Apr 8, 2017 Posts 53,276 Reaction score 132,489 Dec 7, 2021 #2 Huyo kocha ni noma mazee hiyo CV yake nilivyoiona kuna haja ya simba kuipunguza makali kwa kuficha baadhi ya experience yake ili bacelona wasije wakamgombea, maana tulivyo mchukua pablo wali mind
Huyo kocha ni noma mazee hiyo CV yake nilivyoiona kuna haja ya simba kuipunguza makali kwa kuficha baadhi ya experience yake ili bacelona wasije wakamgombea, maana tulivyo mchukua pablo wali mind