Mr_Plan Senior Member Joined Oct 2, 2021 Posts 140 Reaction score 194 Oct 9, 2022 #1 Utomax taarifa iwafikie, Mnyama kaua uko 3-1. Anakuja kumaliza kazi kwa Mkapa na kuingia makundi CAF, billion 1 kibindoni.
Utomax taarifa iwafikie, Mnyama kaua uko 3-1. Anakuja kumaliza kazi kwa Mkapa na kuingia makundi CAF, billion 1 kibindoni.
O Otorong'ong'o Platinum Member Joined Aug 17, 2011 Posts 39,135 Reaction score 28,598 Oct 10, 2022 #2 Hawaamini macho yao
Che mittoga JF-Expert Member Joined Mar 28, 2017 Posts 14,596 Reaction score 18,416 Oct 10, 2022 #3 Otorong'ong'o said: Hawaamini macho yao Click to expand... Wanaamini sema wanakifanya kujifaragua. Misimu yote Simba inacheza robo fainali na kula pesa ya CAF
Otorong'ong'o said: Hawaamini macho yao Click to expand... Wanaamini sema wanakifanya kujifaragua. Misimu yote Simba inacheza robo fainali na kula pesa ya CAF
Mrao keryo JF-Expert Member Joined Aug 29, 2022 Posts 2,259 Reaction score 2,916 Oct 10, 2022 #4 Simba MFALME wa NYIKA
O Otorong'ong'o Platinum Member Joined Aug 17, 2011 Posts 39,135 Reaction score 28,598 Oct 10, 2022 #5 Hatushikiki, Hatukamatiki, Hatuzuiliki.. Simba Unstoppable
Waminyato JF-Expert Member Joined Jun 22, 2022 Posts 2,195 Reaction score 4,540 Oct 10, 2022 #6 "tunataka na sisi caf watupositi",nani kakwambia caf wanaposti mataahira?
Dormant Account JF-Expert Member Joined Apr 5, 2022 Posts 11,307 Reaction score 32,796 Oct 10, 2022 #7 [emoji856]
O Otorong'ong'o Platinum Member Joined Aug 17, 2011 Posts 39,135 Reaction score 28,598 Oct 10, 2022 #8 Waminyato said: "tunataka na sisi caf watupositi",nani kakwambia caf wanaposti mataahira? Click to expand... Kwikwikwikwi...
Waminyato said: "tunataka na sisi caf watupositi",nani kakwambia caf wanaposti mataahira? Click to expand... Kwikwikwikwi...
Bill JF-Expert Member Joined Oct 5, 2007 Posts 10,703 Reaction score 11,812 Oct 10, 2022 #9 Mr_Plan said: Utomax taarifa iwafikie, Mnyama kaua uko 3-1. Anakuja kumaliza kazi kwa Mkapa na kuingia makundi CAF, billion 1 kibindoni. Click to expand... Wanashingilia ushindi wa Namungo zama zile badala ya ule wa jana. Nahisi mwiko unawatia kiwewe.
Mr_Plan said: Utomax taarifa iwafikie, Mnyama kaua uko 3-1. Anakuja kumaliza kazi kwa Mkapa na kuingia makundi CAF, billion 1 kibindoni. Click to expand... Wanashingilia ushindi wa Namungo zama zile badala ya ule wa jana. Nahisi mwiko unawatia kiwewe.
Kennedy Platinum Member Joined Dec 28, 2011 Posts 61,557 Reaction score 74,368 Oct 10, 2022 #10 Simba Anakunja Chap Kibunda Utopolo Inarudi Kichwa Chini Na Engineer Wa Mchongo
tamsana Platinum Member Joined Jan 13, 2012 Posts 3,836 Reaction score 8,257 Oct 10, 2022 #11 Pesa nyepesi sana hiyo kwa simba