Tathmini yako kwa dakika hizi za mwanzo ikoje kuhusu Mechi hiyo?
-Uelekeo wa mashambulizi
-Makosa ya kizembe kwa pande zote
-Mpangilio wa mashambulizi nk.
-Timu yako itashinda kwa bao ngapi leo?
Tathmini yako kwa dakika hizi za mwanzo ikoje kuhusu Mechi hiyo?

-Uelekeo wa mashambulizi

-Makosa ya kizembe kwa pande zote

-Mpangilio wa mashambulizi nk.

-Timu yako itashinda kwa bao ngapi leo?

JKT ndio wanaomiliki mpira kuliko Simba na wanacheza kwa kuelewana sema Simba wanatumia uzoefu ktk hizi dakika za mwanzo