Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 55,952
- 55,962
Huyu kuja hapa ni saa 11 asubuhiUkweli ni kwamb hawez kuja hapa kwa hii leo ana maumivu huko alipo
Kapombe anajua Sana aisee..Mungu mlinde kapombe
👍Kapombe anajua Sana aisee..
Mkuu kwa unavyo ona mpira wa Dynamo na ule wa Yanga nani wancheza soka na akina nani wanakata kata viuno tu uwanjani?Simba 2- Dynamo 1. Mpira mkali sana
Anajua hadi anashangaza aseeKapombe anajua Sana aisee..
Manula leo out?Dynamo hawafiki golini kwa Kakolanya
[emoji23][emoji1787]Hivi sisi na wao lin
Umemsoma ratiba zake eeHuyu kuja hapa ni saa 11 asubuhi
Mkuu mpira unaweza ukabadilika ukashangaa tumepigwa na wao[emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787]Hivi sisi na wao lin
Kwa Simba hii mahasimu wajipange 👊👊👊Wakuu mnamuona kagere? Hii Simba yamoto Sana..
😊😊😊Mpira umeisha haraka..😂😂😂😂
Nimesikia ameumia tena. Ni kweli?Hii jumanne n mbaya sana pale jangwani uwanja tumejazaa, mpira tunaupiga mwingi, wachezaji wapya wanajua mpaka wanajua tena, kapombe karudi kwenye namba yake na anawasha moto hatari[emoji3][emoji3][emoji3]
Majeruhi. Hata Stars hakudakaManula leo out?
3 sio 2Sisi 2 wao 1
This is .......3 sio 2