Simba Day,This is Next Level!Nchi inazizima

Hii jumanne n mbaya sana pale jangwani uwanja tumejazaa, mpira tunaupiga mwingi, wachezaji wapya wanajua mpaka wanajua tena, kapombe karudi kwenye namba yake na anawasha moto hatari[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Hawa Wabrazil wa Kihindi Pakistan na kina Sibomana ni uchochoro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…