Dynamo wanaogopa mashabiki
Usiwe tu mamlukiNimehamia Simba [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Apo tumesajili kweli kana kasi hasaHuyo Deo Kanda ni hatari tupu,ana kasi sana
Hili Juma lishakuwa refu tayari....Leo ndio kwanza jumanne.
Hili Juma lishakuwa refu tayari....Leo ndio kwanza jumanne.
Huyo Deo Kanda ni hatari tupu,ana kasi sana
Moja moja,game tamu sanaGame imeanza ngapi ngapi
MBona hamleti updates nyie vijanaView attachment 1173544
View attachment 1173553
View attachment 1173554
View attachment 1173557
Mabingwa wa watarajiwa wa CAF Championship leo wanahitimisha Simba Day,This is Next Level.
Shamrashamra zimeendelea mitaa yote ya Dar na mikoani kuelekea jioni ya leo kushuhudia kandanda saaafi.
Jiunge nasi hapa JF kupata updates za mchakato mzima wa Simba Day,This is Next Level