Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 19,042
- 22,592
Asiende hakuna nafasiKiaje sa? ππ
Mbona hujaenda kujaza Uwanja Mtani?
Yaani anakimbia kiwanja mzima, dakika kumi kawafunika players.Hivi na ndugu zangu Vyura FC mchezaji anayecheza namba zote ka MO wa Simba alisalimia wananchi???
Tajiri wa Yanga-Ndugu Dr Shika!!
Huwezi amini Nimekuja saa 7 lakini nimekosa sitiOle wenu mfungwe.....uwanja umetapika mbaya
Ongea taratibu wasikusikie wenyeweHaya Masimba yanatisha aroo! Mji umehamia Kwa Mchina!
Vyura wao wanaparamia tope tu huko madimbwi ya jangwani!
Hahaahha picha zaidi ya hizi zilizopo jamaniUmeme umekatika nasubiria picha kutoka kwenu Dada. [emoji85][emoji85][emoji85]
Hawa jamaa wamenichekesha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1][emoji1]
Sikuona mantiki ya magu hoyeeeHata mie nimeshangaa.... Naona pia Mo akiacha Simba, Manara naye atasepa...he is after him
Picha ya zamaniHiyo nchi inayozizima ni Gamboshi au?
Umeme umekatika nasubiria picha kutoka kwenu Dada. πππ
Weka picha ya mwekezaji wenu Dr Shika anakimbia hata dakika 2 tuone Ka hatalazwa matopeni!Yaani anakimbia kiwanja mzima, dakika kumi kawafunika players.
Timu ya kishamba sana simba. Owner amfunike mchezaji? Hiyo umeona wapi?
Kinondoni hii imekuwa nanjilinji hhhhhh...Hata hivyo hongereni kwa kujaza uwanja,hiki ni kielelezo cha kiasi gani watanzania wanapenda mpira wa miguu.Tangu juzi ile kwa Yanga na leo hivi ingawa Simba wanatafuta sifa sasa.Hizi kazi bana, from najilinji..popote pale simba ipo.kweli hili taifa kubwa.View attachment 1173811
Wouzeer wouzeeer [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Wote Sisi's wawekezaji. Hujamsikia MO akiwataka muwe na Simba gala?Weka picha ya mwekezaji wenu Dr Shika anakimbia hata dakika 2 tuone Ka hatalazwa matopeni!