Mtimkavuorg
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 653
- 530
Kweli taifa ndn ni tatizoToooba.
Na bado tunawasubiri uwanjaniHaya bwana.
Nchi imetulia mda huu vibaka wote na wasiojulikana wapo kwa mchina
Heshima ni kitu cha bure!Nalijua hilo Mkuu. Ila wenzetu mlisema leo ni kama holiday hivyo hamwendi kazini nyie mkiamka tu uelekeo kwa Mkapa.
Kama OKW BOBAN SUNZU kasingizia ugonjwa ili akaongeze idadi Uwanjani. ππ
KinyongeeeHaya bwana.
Nakusalimia tu mm ndugu umeona simba lakiniHaya bwana.
Hahahahahahahahah kwisha habari yako, kwishneiHaya bwana.
Haya Masimba yanatisha aroo! Mji umehamia Kwa Mchina!Nakusalimia tu mm ndugu umeona simba lakini
ππππKinyongeee
Mshana, tabia mbaya hii! Angalau 'ungeitngeneza ' sura yake isiwe halisi.
Umeme umekatika nasubiria picha kutoka kwenu Dada. πππNakusalimia tu mm ndugu umeona simba lakini
Heshima kitu cha bure, pale ni "KWA MCHINA"mlioko kwa Mkapa simu zenu hazina camera? leteni mapicha
Kiaje sa? ππHahahahahahahahah kwisha habari yako, kwishnei
Bado mpira kuanzaWadau matokeo vp