Simba chagueni moja, msituchanganye

Hoja zikizoko kwenye ile barua ulizielewa? Kama hujazielewa nenda kasome tena halafu urudi usome hiki ukichoandika hapa.
Nimezielewa vizuri ndo maana nikamjibu uyo aliyekazana na hoja ya viongozi wa yanga kuwepo kwenye tukio, alivyoeleza ndivyo nilivyomjibu otherwise ajikite kwenye hoja nyingine tofauti na iyo
 
Vunja Bei tutengenezee jezi zenye nembo za GSM tarehe 11 tununue kwa wingi tuvae tuingie nazo uwanjani kuwazomea Utopolo
 
Hao Makolokolo sasa waneshikwa kunako dadeq..
Ila nawakumbusha tu kuwa tar 11 kipigo chenu kipo palepale
 
Wakisusa wanatafutwa popote walipo wanaletwa uwanjani kwa nguvu wacheze
 
Muhimu wanatakiwa kuleta team uwanjani tarehe 11 wasitafute kisingizio
 
Hao Makolokolo sasa waneshikwa kunako dadeq..
Ila nawakumbusha tu kuwa tar 11 kipigo chenu kipo palepale

Sawa Shombe la kisomali,naona mnataka kuivuruga hii ligi yetu iwe ya hovyo kama yalivyo maisha ya hovyo hovyo huko kwenu Mogadishu,wewe ,Hersi na Karia
 
Simba ndio mtajua kwamba kwann Yanga inafanana rangi zake na chama cha mapinduzi
 
Maofisa wa Yanga na Simba wanajua wanapoenda kujadili mikataba yao mikubwa Azam wanakutana na mtu anaitwa Aboubakar.

Ni mtu huyo huyo ambaye bodi yake iliidhinisha udhamini wa Azam TV kwenye ligi.

Aboubakar huyo huyo ndiye M/kiti wa bodi ya Azam FC. Mbona hili halikujadiliwa tokea mwanzo?
 
Kule Afrika Kusini, Ligi kuu inadhaminiwa na Dstv. Mmiliki wa dstv ni Multichoice. M/kiti wa bodi ya Multichoice ni Imtiaz Patel ambaye ni M/Kiti wa bodi ya Supersport Utd, ambayo ipo ligi hiyo hiyo inayodhaminiwa na dstv

CEO wa Supersport Utd ni Marc Jury ambaye pia ni CEO wa supersport bidhaa na mjumbe wa bodi ya Multichoice

Wajumbe walioidhinisha udhamini wa dstv ndio hao hao mabosi wa Supersports Utd, achilia mbali huyu Hersi ambaye yupo kwenye kamati za usajili tu

Maofisa wengi wa kampuni ya Multichoice (dstv wadhamini wa ligi kuu Afrika Kusini) ndio maofisa wa klabu ya supersport. Mbona hutajasikia malalamiko Afrika Kusini
 
Ligi kuu Ufaransa imedhaminiwa na Bein Sports. M/Kiti wa Bein Sports ni Nasser Khelaifi ambaye ni mmiliki wa PSG.

Bein Sports hao hao wameidhamini uefa ambayo PSG inashiriki. Ceo wa Bein Sports ambaye ndiye mtendaji mkuu wa masuala yote ya kimkataba, ni Yousef Al Obaidly ambaye pia ni mjumbe wa bodi wa PSG na ni mshauri mkuu wa Khelaifi
 
Tipico ni kampuni ya Kamari, imeidhamini Bundesliga kupitia DFB, Hambarg SV na Bayern Munich. Ni kawaida. Hizi Ni biashara kama biashara nyingine

Kwanini kwa Hersi na GSM iwe nongwa!?
 
Watu wa simba siku zote wana udumavu wa akilj ..

Hapa wanakimbia kipigo kijanja.
 
Back
Top Bottom