Simba buana

Kwani Simba hajawahi kunyakua makombe? Na mbona huko muendako hakuna cha maana mtendacho zaidi kutia aibu soka la kubuatua na kurukaruka kama Chura hatimaye round ya awali tu nje.

Subiri Simba SC wamerejea na hatupoi.
kanyakua ila kwa idadi ndogo ukilinganisha na yanga, suala la kwenda na kurudi kapa hata simba kaenda na karudi kapa.
 
Kombe lipi la CAF Mkuu? Castle Cup au Mapinduzi?
Kwani Simba hajawahi kunyakua makombe? Na mbona huko muendako hakuna cha maana mtendacho zaidi kutia aibu soka la kubuatua na kurukaruka kama Chura hatimaye round ya awali tu nje.

Subiri Simba SC wamerejea na hatupoi.
 
Thubutuu yako. Eti Still Counting! Labda malinzi arudi tena kwenye nyadhifa, maana hizo 27 asilimia 90% Tenga yupo, Malinzi yupo, Marefa wapo, Viporo vipo na mechi ya away Ndanda FC kuchezwa taifa imo... Bwihi [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
hakuna mijitu mijinga kama mishabiki ya thimbaaaa angalia ligi kubwa zote duniani kama hautaona mechi za vipolo sembuse chandimu ya bongo.
 
hakuna mijitu mijinga kama mishabiki ya thimbaaaa angalia ligi kubwa zote duniani kama hautaona mechi za vipolo sembuse chandimu ya bongo.
Sasa we dogo unajua nini katika soka. Embu niambie ligi gani duniani timu inakuwa na Viporo 7 na mechi ya away ya Ndanda FC kuchezwa uwanja wa Taifa?

Halafu kabla hujakimbilia kurusha povu jifunze hili kwanza Vipolo /Viporo
 
timu za kipumbavu zinawatia watu upumbavu,katika nchi yakipumbavu yenye viongozi wa kipumbavu wanaowatuma polisi wa kipumbavu kufyatua risasi kipumbavu na kuwaua raia wasio hatia katika hali ya kipumbavu.kisha wanatoa majibu na utetezi wa kipumbavu.
 
pumbavu.
 
Mashabiki simba embu mtulie basi. YANGA ni Kama Adam. Simba ni EVA. Simba ilianzishwa ubavuni mwa Yanga. Kama unabisha tafuta history
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…