Umeahamia kwa mkopo? Jenga hoja iliyojitokeza kwenye thread..!Wapelekee LIBOLO
Mkuu, Kuna hoja gani kwa Mabingwa wa kihistoria nchi hii? Mara 27 and still counting! Anayefuata mara 18. Bado karne mbili kuifikia Yanga. Mengine ni kujifariji tu.Umeahamia kwa mkopo? Jenga hoja iliyojitokeza kwenye thread..!
Thubutuu yako. Eti Still Counting! Labda malinzi arudi tena kwenye nyadhifa, maana hizo 27 asilimia 90% Tenga yupo, Malinzi yupo, Marefa wapo, Viporo vipo na mechi ya away Ndanda FC kuchezwa taifa imo... Bwihi [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]Mkuu, Kuna hoja gani kwa Mabingwa wa kihistoria nchi hii? Mara 27 and still counting! Anayefuata mara 18. Bado karne mbili kuifikia Yanga. Mengine ni kujifariji tu.
hayo matokeo mnayapata yanga akiwa na mgogoro tu..tofauti na nyie mlivonyukwa zile tano kihalali kabisaUmeahamia kwa mkopo? Jenga hoja iliyojitokeza kwenye thread..!
kweli nyie mbumbu fc..Mara 27 maana yake ni takriban miaka 27..sasa tenga na malinzi wametawala miaka mingapi?!Thubutuu yako. Eti Still Counting! Labda malinzi arudi tena kwenye nyadhifa, maana hizo 27 asilimia 90% Tenga yupo, Malinzi yupo, Marefa wapo, Viporo vipo na mechi ya away Ndanda FC kuchezwa taifa imo... Bwihi [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
sasa sijui na msumu huu mtasingizia nini tena; ni kawaida ya yanga kushinda (in polepole voice)Thubutuu yako. Eti Still Counting! Labda malinzi arudi tena kwenye nyadhifa, maana hizo 27 asilimia 90% Tenga yupo, Malinzi yupo, Marefa wapo, Viporo vipo na mechi ya away Ndanda FC kuchezwa taifa imo... Bwihi [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
Enzi za Rage, Wambura ilikuwaje Kwani?Thubutuu yako. Eti Still Counting! Labda malinzi arudi tena kwenye nyadhifa, maana hizo 27 asilimia 90% Tenga yupo, Malinzi yupo, Marefa wapo, Viporo vipo na mechi ya away Ndanda FC kuchezwa taifa imo... Bwihi [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
Hilo uwe na uhakika nalo. Still counting!Thubutuu yako. Eti Still Counting! Labda malinzi arudi tena kwenye nyadhifa, maana hizo 27 asilimia 90% Tenga yupo, Malinzi yupo, Marefa wapo, Viporo vipo na mechi ya away Ndanda FC kuchezwa taifa imo... Bwihi [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
Umeambiwa asilimia 90% na si 100% inaama zinazobakia ni uongozi mwingine. Shule muhimu wewe Vyura FC.kweli nyie mbumbu fc..Mara 27 maana yake ni takriban miaka 27..sasa tenga na malinzi wametawala miaka mingapi?!
Au waende Raja Casablanca mwaka 1998 Yanga alikula 6 kwa sifuri., aggregate ikawa 9-3.Wapelekee LIBOLO
Ya 5-0, I WAS THERE!!Inatokea mara moja kila miaka 30. Don't bet on that.
Nyie mnaowaweza Waarabu, mmepata Kombe lipi la CAF kwa kuweza Waarabu?Au waende Raja Casablanca mwaka 1998 Yanga alikula 6 kwa sifuri., aggregate ikawa 9-3.
Kana kwamba haitoshi, 2000 Zamalek akajipigia Yanga tena 5-1.
Waarab wanawapenda sana, tope laterezesha tu!
We mkia hebu tuliaUmeambiwa asilimia 90% na si 100% inaama zinazobakia ni uongozi mwingine. Shule muhimu wewe Vyura FC.
Ndo maana mnafungwa 5-0 na Simba SC
Umeleta LIBOLO mimi nimeleta RAJA CASABLANCA.Nyie mnaowaweza Waarabu, mmepata Kombe lipi la CAF kwa kuweza Waarabu?
Kwani Simba hajawahi kunyakua makombe? Na mbona huko muendako hakuna cha maana mtendacho zaidi kutia aibu soka la kubuatua na kurukaruka kama Chura hatimaye round ya awali tu nje.simba ushindi wake ni kuifunga yanga, yanga ushind wake ni kunyakua makombe hii ndo tofauti baina yao
Tumepata kucheza fainali kombe la CAF ambalo wewe hata nusu huwezi kufikia kucheza katika michuano hiyo...!Nyie mnaowaweza Waarabu, mmepata Kombe lipi la CAF kwa kuweza Waarabu?