kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 20,142
- 24,446
Dunia ndivyo ilivyo!Ateba baada ya pre season mtamkataa maana atarudi amefutuka amekuwa na zegembe yani amenenepa.
Turudi kwenye mada
Simba kuwa bingwa ni mpaka mechi ya mwisho. Yanga tunawapumulia kisogoni kwa kasi ya ajabuView attachment 3181408
Penalty ni sehemu ya mchezo mbona hapewi mtu akiangushwa kati kati ya kiwanja, yanga wazikatae wakipewa!Labda ikiendelea hivi hivi kila mechi penalty
Penati inapatikanajeLabda ikiendelea hivi hivi kila mechi penalty
Kwao ni lulu!Mzamiru na Mutale tuwape bure
Mmejaa ushirikina kwa kila jambo!Rage alikuwa sahihi kuwaiteni mbumbumbu
utopwinyo baada ya kufufuka kwenye game moja mshaanza matusi mtateseka sanaa tena kipa yule yaan wakilenga lango tu walete katiiii🤣🤣🤣Rage alikuwa sahihi kuwaiteni mbumbumbu
Ubingwa Kwa Makolo sahauMmejaa ushirikina kwa kila jambo!
Unatulazimisha tuchange haraka cement ya kujenga mnara wa Rage pale Msimbazi centerutopwinyo baada ya kufufuka kwenye game moja mshaanza matusi mtateseka sanaa tena kipa yule yaan wakilenga lango tu walete katiiii🤣🤣🤣
Ukijua kusoma alama za nyakati wala hukazi shingo!Ubingwa Kwa Makolo sahau
Itafika wakati mtanyamazaUkijua kusoma alama za nyakati wala hukazi shingo!
🐸Mtaumia sanaa this time mimi nachojua wenye akili ni wawili tu sawa 2mbiliUnatulazimisha tuchange haraka cement ya kujenga mnara wa Rage pale Msimbazi center
Sijabisha mzee wa Kwihala.Wengi wanaponda upangaji wa kikosi wa mwalimu fadlu davis mbinu zake,kwanza kabisa mimi sio shabiki wala mpenzi wa klabu ya simba mimi ni shabiki na mwanachama wa Coastal union mangushi ya Tanga ila sasa navutiwa na timu ya mkoa wangu wa asili Tabora united.
Niseme ukweli bila kupepesa Simba wana mwalimu mzuri sana mwenye kujua kusoma mchezo husika kabla ya mechi na kubadili mbinu ndani ya mchezo,
Simba ina wachezaji wenye kujua muda na mazingira ya kuamua gemu na kucheza mechi zenye pressure kubwa kiwanja cha nyumbani na nje ya jiji,mpaka muda huu hakuna timu yeyote yenye kikosi kipana na bora kuliko simba kama hamuamini waulizeni yanga watasema wanataka kusajili kikosi chote cha simba kuanzia benchi la ufundi mpaka rizevu yote ili wawasaidie ila mashabiki wa simba hawajiamini na timu yao.
Na kudhihirisha hilo kuwa Simba ni timu bora msimu huu wanakwenda kubeba mataji yote ya ndani na ubingwa wa shirikisho inshaAllah hilo linawezekana kwa kikosi walicho nacho hebu waulizeni yanga nani hamtaki Camara,ayoub,Manula,Nouma,shabalala,kapombe,Chemalone,karabuoa,Abdulrazak,okjepha,mavambo,mzamiru,kagoma,Aweso,Ateba,mukwala,mutale,kibu,kijili ,mpanzuna wengineo ukitaka kulijua hilo angalia walivyomrukia israel mwenda.......
Simba ndio bora kwa sasa Tanzania hii ikifuatiwa na azam,Tabora,fontain gate,coastal,yanga,black stars na nyinginezo......2024/25 Simba bingwa bila kipingamizi nyingine ni blah blah!