Leo kaanza vizuri, vipi Mugalu leo au yuko benchi?Chamaaaaaaaaaaaaaaaa chama baba
La pili?Mod kazi anayo leo... Anabadili title simba 1- 0... Huku simba wanapata la pili..
Leo kaanza vizuri, vipi mugalu leo au yuko benchi?
Yap now nimewasha redio nimesikia hapa wanamtaja KagereKaanza kagere , mugalu yupo nje