Wakati mwingine unaweza ukawa na mipango yako mizuri sana. Kumbuka kuwa kuna watu wengine hawatakiwi kabisa uwe nao kwenye maisha yako. Endapo utakuwa nao tu hizo ndoto zako zote zinaanza kufifia.
The dreamers never die. Mpaka ndoto zao zitakapo timia.
Nelson Mandela alipata kufaliki pale ndoto zake zilipotimia.
Wale wasomaji wa vitabu vya dini hususani biblia mtakuwa pamoja na mimi kuhusu histori ya Yusuph. Aliota kuwa ndugu zake watamsujudia. Ndivyo ilivyo tokea.
Kama mtu huna ndoto hakika utakuwa unaishi tu duniani bila dira na mwisho wa siku unaweza ukaondolewa tu ki ajabu ajabu.