Silly things we cling to

Silly things we cling to

Nina ka tape radio kadogo 'walkMan' nliletewa zawadi na mtoto mzuri kitaambo zawadi ya birthday, nakitunza kama moyo vile. Japo sikatumii
 
Nnakamdoli tangu 2012 nimekahifadhi tyuu

Hako kamdoli nilikapenda saba kalikuwa kwenye zipu ya pochi Ila Hiyo pochi ckuipenda nilipenda mdoli tyuu

Ikabidi nimbembeleze anaeuza iyo pochi aniuzie mdoli peke ake, wakati nambembeleza rafiki yangu alimchomoa uyo mdoli akamweka kwenye pochi yake kimyaa tukanunua pochi nyingine tofauti naile,njian ndo akanipaga mpk leo kapo tyuu Japo kuwa hakana kazi sehemu ya kupitishia kamba ili nimweke kwenye zipu ilishavunjikaga muda tu
yani kwa kifupi mliiba si ndio..
 
Nazi keep in My head. I remember my childhood friends aka's, favourite songs, vishtobe wao, vituko vyao, member wa timu za chandimu na matukio ya kuchekesha. Primary schools, secondary schools etc. Mfano nikiwa darasa la pili. Sumbawanga mvua zikinyesha km hivi tunaunganisha madawati katikati ya darasa maana madirishani mvua inanyesha. There was this girl called Veronica alikuwa mweupe pee kila tukiunganisha madawati najikuta nipo next to yeye jamani she was tender, smile yake, argh ilinimaliza. Yaani kila tukio nalikumbuka na conversation zetu. Hope one day ntakutana nae nikumbushe!
 
Back
Top Bottom