Silly things househelps do

Sisi waliiba kiufundi zaidi, kwani tuligundua baada ya week mbili tokea wameondoka, walichukua vitu wakaacha mabox tupu hivyo tulipoenda kagua tukajua kila kitu kipo, sherehe bana ndo ikatujulisha kuwa hatuna kitu, tuliishia kuta mabox pekee, kwenda anza chunguza tumeibiwa sana tu.
Tena mtu aliemleta ni wa kanisani kwetu we acha tu iliuma.
Waliiba kuanzia vigae, mabati,milango ambayo ilikuwa imebakia baada ya ujenzi.
 
Nilikuwa na houseboy, yeye aliniomba simu nikampa techno. Kaweka picha za pono na kuanza kutongozea hizo. Iliibuka soo tukaenda kumaliza polisi, kwa ahadi kuwa kesho anaondoka.
Nikakaa na mdada. Yeye ilikuwa nikiacha hela ya matumizi madogo madogo, anapiga panga. Nusu anampelekea boyfriend wake. Kilichonifanya nijue ni baada ya kumuondoa nilifanya usafi wa chumba chake nikagundua kuwa kila alichofanya aliandika kwenye diary. Hadi jamaa aliolala nao ndani wakati sipo.
Huyu nilimuondoa baada ya kuona anataka kuvuka mipaka ya kazi zake. Alijiongezea job description, nikija jioni anazima taa, some time anavaa kanga moja tu, nikamtimua fasta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…