miss neddy ukistaajabu ya musa mbona utayaona ya firaunihahahaha wonders shall never end hujui mumeo mtu wa wapi atiiii
miss neddy ukistaajabu ya musa mbona utayaona ya firauni
Yes, maybe every woman's bad dream. lol
miss neddy utachezea makonzi ya O.S siku si nyingi.
O.S you made me laugh my behind off.
Ila amenifurahisha. I had no idea..... Forewarned is forearmed.
maneeenah
Mamy huyu househelp miss neddy is silly koz she cant keep nothing within her brainless bony cavity placed on his neck!!!!!hahahaha. Ningekuwa wewe ningeishia hapo hapo.
Humjui O.S wewe!!
Ya mbele au ya nyuma????!!!
Utakula kavu au uwekewe kwenye rambo?????!!!
Ya mbele au ya nyuma????!!!
Utakula kavu au uwekewe kwenye rambo?????!!!
haa haa huyo aliyekuwa anapenda kufagia uwanja alikuwa mngoni nini? maana sie wangoni uwanja ndio kila kitu yaani uwanja utakuta msafi 24/7, ndani mmmhmmmh!!!
Mamy huyu househelp miss neddy is silly koz she cant keep nothing within her brainless bony cavity placed on his neck!!!!!
Bloody mouthed she is!!!!!!!!
Home wrecker!!!!!
kumbe wangoni ndo hulka yenu kufagia?? Hapana yeye alikuwa mtu iringa
kwangu nilikuwa naishi na mabinti wawili, extended family (sasa hivi hawapo na sitaki tena), hao extended family nao hawana akili. walikuwa wana-collude na hg maana nasikia walikuwa na tabia ya kutoroka usiku, hg ndio anawasaidia kuingia ndani. Hg naye mchana nazurura, japo huwa anasubiri wakati hatupo ndio azurule.Katika mambo ambayo sifagilii ni interaction ya dada na majirani. Kila nyumba ina formula yake na the minute hizi interactions zinaanza, everything has been compromised. Ndo mpaka kukanda maandazi kwa jirani? Watoto walikuwa wapi?