'Silinde!' mbona hilo jina kwangu ni geni? wakuu naomba mnisaidie huyo ni mbunge wa wapi na anawakilisha chama gani.
pia tunapaswa kuwaza tena Pinder anahangaika na nyuki na ndo anautaka urais,hivi dunia ya sasa ni ya kuhamasisha kuhangaika na nyuki kweli????Silinde Kawaonya Wassira, Sitta na Pinda wasithubutu kuwania urais maana hata kura za maoni kwao ni ngumu kupita na hata wakipitishwa hawatapata Urais huku kwa wananchi.
Silinde ameyasema hayo Bungeni na amewataka wapumzike
Silinde alisema "Eti PM anasema akistaafu anataka awe mfuga nyuki. huwezi kuwa Waziri Mkuu halafu unawaza ukistaafu unasema unaenda kufuga nyuki, huku ni kuleta umaskini tu kwa kiongozi kama huyu".
Hana ubavu wa kupambana na hz mashine
Wasira anajidaia zile kura za bora liende za 2012 hivi anafikiri kwenye jambo makini kuna mtu wa kumchagua Wasira seriously?
'Silinde!' mbona hilo jina kwangu ni geni? wakuu naomba mnisaidie huyo ni mbunge wa wapi na anawakilisha chama gani.
Silinde ni punguani,hana ufahamu wa faida ya biashara ya ufugaji nyuki na mazao yake.Akae kimya anajidhalilisha
Hawa viongozi magamba wana mavi kichwani, wameona shughuli ya ufugaji ni ya watu waliozeeka, wamechoka na waliokosa madaraka, hawajui ufugaji ni kazi kama zingine na hata wafugaji wakizeeka wanastaafu? profesa anataka kuchunga ng'ombe, P.M anataka kufuga nyuki, Lukuvi atakuja kutuambia anafuga mbwa wa biashara na wasira arudi ziwani akavue samaki. kwa uwezo wao wa kufikiri si ajabu nchi kuendelea kuwa maskini.
Umejuaje kama mbunge? Ukinijibu hili ntakwambia ni mbunge wa wapi?'Silinde!' mbona hilo jina kwangu ni geni? wakuu naomba mnisaidie huyo ni mbunge wa wapi na anawakilisha chama gani.