yamindinda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2011
- 1,581
- 1,318
Mbunge wa Momba, David Silinde akizungumza bungeni alipokuwa akichangia mjadala wa kupitisha makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Nishati kwa mwaka wa fedha 2018/2019, jijini Dodoma leo.
Hakuna......Hivi kuna mtu anaamini Magufuli anapambana na ufisadi?
kwanini unafikiria hivyo???Hivi kuna mtu anaamini Magufuli anapambana na ufisadi?
mbona tupo tunaomuunga mkono kiuhakikaHakuna......
Hata hao CCM wanamuunga mkono kinafiki tu
Mi navyojua anapambana na mange kimambiHivi kuna mtu anaamini Magufuli anapambana na ufisadi?
HATA MIMI!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!Binafsi sina iman na na ccm
Na mbuyu ni nani? mizizi tunaiona na mingine imekatwa, sasa huyo mbuyu huyo!Ufisadi ni kama mizizi ya mbuyu ili ufisadi upotee lazima tukate mbuyu wote
hahahaaa!Mi navyojua anapambana na mange kimambi
Hivi kuna mtu anaamini Magufuli anapambana na ufisadi?
Ww unafikiri lowasa angeweza ? Rushwa ni tatizo kubwa hata nchi za ulaya cha msingi tumuunge mkonoHivi kuna mtu anaamini Magufuli anapambana na ufisadi?
Mkuu akili kumkichwa mbuyu ni Ccm inayo iongoza serekali yetuNa mbuyu ni nani? mizizi tunaiona na mingine imekatwa, sasa huyo mbuyu huyo!