silent treatment sucks like hell

siku moja inatesa na inakuwa ndefu saaana' ila haiui.

Kwani hiyo harusi walipanga ifanyike the very next day?

Kitu pekee kinachotia shaka ni kutokujiana hali tu, lakini kama yu bukheri wa afya sidhani kama kuna shida...

Kumbuka hawaishi aribu, na njia pekee wanayoitegemea ni mawasiliano ya simu...lolote laweza kutokea mathalani upotevu wa simu, namna ya kutia simu umeme, uharibifu...n.k
 

pole labda kuna sababu subiri akipata muda atakupigia au endelea kumtafuta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…