wewe ni ke au me?
ke Husninyo
Simu sijui meseji matwita yenu hayo ndio yanawafanya muwe kama mbwiga!!!!
Mnaoana nyie so ni suala la wewe na yeye physically!!!!!!
Muibukie laivu tena ghafla bin vuu utajua yooooooote ila uwe na uwezo wa kuhimili yatokanayo!!!!!
hebu tafta namna yoyote ujue kama ni mzima au lah, ukishajua kuwa bado anapumua na yupo mzima hana hata kipele basi na wewe chuna zako kimyaa utafte ustaarabu mwingine. usimlaumu kwanza pengine yupo kwenye matatizo.
thank you, tunaishi mikoa tofauti, na kutoka hapa ni mpaka nipate likizo ambayo ni mwezi wa kumi, ila sijui jinsi ya kudeal na hii situation mpaka hapo nitakapo pata muda wa kuonana nae in person
kwani ukimpotezea tatizo liko wapi?
As long as he's alive and kicking ....nawe piga kimya tu...siku moja haitesi!!!
kwani ukimpotezea tatizo liko wapi?
kwani ukimpotezea tatizo liko wapi?
ambaye hapokei simu au hajibu chochote ni ke/me nijibu nitakushauriipi njia sahihi ya kudeal na mpenzi anaeamua kupiga kimya tu, one day before mmeonge vizuri tu hadi mipango ya ndoa mkaongea, mkaulizana kabisa kama wote mpo tayari kwa ajili ya ndoa, yaani mazungumzo moto moto ya mapenzi, halafu kesho yake tu, hapokei simu, hajibu message, hafanyi kitu chochote,
Mahusiano yenu yamemudu kwa mda gani? Ni yeye aliyeanzisha topic ya ndoa au wewe? Kama ni wewe, kuna uwezekano mkubwa kabisa kuwa she was caught up in the moment...na sasa yuko katika kutafakari kama ni kweli yuko tayari. Either way, piga moyo konde..if its not meant to be....then someone else will come alongipi njia sahihi ya kudeal na mpenzi anaeamua kupiga kimya tu, one day before mmeonge vizuri tu hadi mipango ya ndoa mkaongea, mkaulizana kabisa kama wote mpo tayari kwa ajili ya ndoa, yaani mazungumzo moto moto ya mapenzi, halafu kesho yake tu, hapokei simu, hajibu message, hafanyi kitu chochote,