Silaha za nyuklia: Marekani yaionya Korea Kaskazini

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,410
_93931695_mattisonnorthkorea.jpg

Waziri wa ulinzi nchini Marekani James Mattis amesema kuwa Korea Kaskazini itakabiliwa vikali iwapo itafanya utumizi wowote wa silaha za kinyuklia .

Bw Mattis yuko nchini Korea Kusini ambapo ameihakikisha Seoul Korea kwamba inaungwa mkono na Marekani.

Majaribio ya mara kwa mara ya makombora ya nyuklia yanayofanywa na Korea Kaskazini mbali na taarifa za uchokozi yanaendelea kutia wasiwasi mbali na kuyakasirisha mataifa ya eneo hilo.

Marekani ina wanajeshi wengi nchini Korea Kusini na Japan ikiwa ni mpango wa ulinzi wa baada ya vita.

Rais Donald Trump awali amenukuliwa akisema kuwa mataifa hayo mawili yanafaa kuilipa Marekani zaidi ili wanajeshi wake kusalia kukaa nchini humo.

Bw Mattis ametumia ziara yake nchini Korea Kusini kulihakikishia taifa hilo kwamba utawala wa bw Trump utaendelea kulinda eneo hilo.
 
View attachment 466694

Kama trump hajipendi amchokoze dogo chizi wa North korea aone reaction yake. Dogo hakopeshiga yule.....LOL
 
Hana lolote lile ni mikwara ya kichaa cha dog tuu....anahangaika nini sasa na mkombora ya masafa marefu sijui yeye si apige tu ubalozi wa us hapo K.kusin ajue mbivu na mbichi zikoje
 
Mbona Marekani ndo inapiga domo tu, waingie Pyongyang kama wanaweza sio kelele tu, mbona walivamia Iraq kwa madai ya kwamba wana silaha za nyuklia, DPRK anazo na anaendelea kuzitengeneza na kuzifyatua hakuna wa kuionesha jeuri.
 
teh! teh! hata kipindi kile mlisema 'waingie iraq' sijui nini kilitokea, sasa imekuwa 'waingie pyongyang' teh! teh! ni mwendo wa kuhamisha magoli tu
 
Wahanga hapa watakuwa ni s korea na Japan sasa je marekani yuko tayari kuona vibaraka wake wanaangamia kwa makombora ya n korea?
 
Inahitaji Busara Kudeal Na Korea Ya Kaskazini Na Trump Anatakiwa Akae Kwenye Ukweli Kuwa Kwa Sasa USA Siyo Super Power Anymore

Waliolala Wameamka Anazani China Atakubali Marekani Iwashambulie Korea Ya Kusini
 
Mbona Marekani ndo inapiga domo tu, waingie Pyongyang kama wanaweza sio kelele tu, mbona walivamia Iraq kwa madai ya kwamba wana silaha za nyuklia, DPRK anazo na anaendelea kuzitengeneza na kuzifyatua hakuna wa kuionesha jeuri.
Wewe dogo hana chochote mkuu.
 
Back
Top Bottom