Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,319
- 33,125
WEAPON OF MASS DESTRUCTION
WEAPON OF MASS DESTRUCTIONView attachment 1126654
Umejuaje wewe ?mjanja sana wewe.... 😂Ndizo watakazovyaa viuoni wagombea wa ccm ili warudi bungeni mwakani.
hahaha yule mzee wetu bana lazima tumuite hapa atuachie urithi sisi vijanaYaani Mshana Jr asinge kuwa tagged hapa ningeshangaa.
Umejuaje wewe ?mjanja sana wewe.... 😂
Kazi kweli kweli ipo mwakani 2020 watashinda kwa ndumba na uchawi pasipo na ndumba au uchawi hawawezi kushinda majangaa makubwa basiMkuu, huku kitaani wengi hawakubaliki. Ndumba na rushwa lazima zitembee kurudi mjengoni.
Uchawi wa kizamani sana huu. Uchawi wa siku hizi ni kuwapenda wanaotuudhi na kuwaombeaWEAPON OF MASS DESTRUCTIONView attachment 1126654
Hana hiyo jeuriiUna matani na bro... Utajikuta mafia island ohoo
Hana hiyo jeurii