Sikuwaahidi chochote-Rais Buhari

Sikuwaahidi chochote-Rais Buhari

Barbarosa

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2015
Posts
22,584
Reaction score
27,838
Raisi mteule wa Nigeria Muhammadu Buhari amewaruka wananchi wa Nigeria kwa kusema kwamba hakuwahi kutamka wala kuahidi kwamba atatekeleza aliyoahidi kuyafanya ndani ya siku 100 akiingia madarakani.

Buhari aliwaahidi Wanigeria kwenye chapisho aliloliita

,One Hundred Things Buhari Will Do in 100 Days" mambo mengi la kwanza kabisa lilikuwa ni kutangaza mali na fedha zote alizo nazo, na mengine mengi lkn baada ya kuchaguliwa na kuingia madarakani leo hii anasema kwa kutumia Chama chake kwamba siyo kweli kwamba aliahidi kuyafanya hayo ndani ya siku 100!

Inanikumbusha ahadi anazoahidi fisadi Lowasa na Genge lake kwamba pindi aingiapo madarakani ataondoa foleni jijini Dar ndani ya miezi 3, ataleta Katiba Mpya n.k

Mungu anatumpenda WatanZania kwani kila mtu anapojaribu kutaka kutudanganya na kuharibu nchi yetu basi Mungu hutulinda kwa kuonyesha njia na Mifano hai.

Hapo chini ndizo ahadi alizotoa Raisi Buhari kabla ya kuchaguliwa ambazo angezitimiza ndani ya siku 100 na mpaka leo hii hajatimiza hata moja na ameshazikana.

===================================

What I will do in my first 100 days in office - General Muhammadu Buhari

-On Corruption and Governance-
I pledge to:

Publicly declare my assets and liabilities
Encourage all my appointees to publicly declare their assets and liabilities as a pre-condition for appointment.
All political appointees will only earn the salaries and allowances determined by the Revenue ---Mobilization and Fiscal Allocation Commission (RMFAC).

Personal leadership in the war against corruption

Inaugurate the National Council on Procurement as stipulated in the Procurement Act.

The Federal Executive Council, which has been turned to a weekly session of contract bazaar, will concentrate on its principal function of policy making.

Review and implement audit recommendations by Nigeria Extractive Industries Transparency Initiative including those on remittances and remediation.

Work with the National Assembly towards the immediate enactment of a Whistle Blower Act
Work with the National Assembly to strengthen ICPC and EFCC by guaranteeing institutional autonomy including financial and prosecutorial independence and security of tenure of officials. Make the Financial Intelligence Unit of the EFCC autonomous and operational.

Encourage proactive disclosure of information by government institutions in the spirit of the Freedom of Information Act.
Ensure all MDAs and parastatals regularly comply with their accountability responsibilities to Nigerians through the National Assembly.

Work with the leadership of the National Assembly and the Judiciary to cut down the cost of governance.
I will present a National Anti corruption Strategy.

- On Insurgency and Insecurity-
I pledge to:
As Commander-in-Chief, lead from the front and not behind in the comfort and security of Aso Rock to boost the morale of fighting forces and the generality of all Nigerians.

Give a special attention to the welfare of our armed forces and their families; lost heroes and their families and the victims of insurgency.

Boost the morale of the men and women in the field by public recognition of their efforts through memorabilia, stamps, statues, regular rotation, regular payment of allowances, regular communication between the men and officers of security agencies, provision of best health care and housing for families of deceased comrades.

I will present a marshal plan to the nation that will combat insurgency, ethnic and religious violence, kidnapping and rural banditry.

Provide the best and appropriate military and other materials the country needs to combat insurgency, ethnic and religious violence, kidnapping and rural banditry.

Establish personal relationship with governors of the affected states by insurgency, with leaders of the countries in the region and with leaders around the world to coordinate efforts to combat insurgency, oil theft, piracy and criminality.

Restore confidence in the bilateral and multilateral partnerships in addressing insurgency including procurements.
Activate regular meetings of the National Police Council to ensure the discharge of its true constitutional role in a transparent and accountable way.

As a father, I feel the pain of the victims of insurgency, kidnapping and violence whether they are the widows and orphans of military, paramilitary, civilians and parents or the Chibok girls. My government shall act decisively on any actionable intelligence to ‪#‎BringBackOurGirls‬.

Gen Muhammadu Buhari"
 
Barbarosa
Ungeweka kwanza alizoahidi mwenyekiti ccm mwaka 2005 wakati anaingia madarakani na upime utekelezaji wake.
Uzuri nyinyi ccm malofa kila kitu mmeaminishwa hakiwezekani huku familia 7 za watawala wakijichotea mali za nchi
 
Last edited by a moderator:
Kuna watu inabidi tu kuwaonea huruma hapa JF
 
Meli tatu, Mwanza kuwa Hong Kong ya Africa, Uwanja wa ndege wa kimataifa Kyabajwa-Kagera. Hizi nne tu zinawatoa Jasho. Vote for Lowassa please!

Ungeweka kwanza alizoahidi mwenyekiti ccm mwaka 2005 wakati anaingia madarakani na upime utekelezaji wake.
Uzuri nyinyi ccm malofa kila kitu mmeaminishwa hakiwezekani huku familia 7 za watawala wakijichotea mali za nchi
 
Barbarosa hivi wewe usipomtaja Lowassa hupati usingizi?!, halafu kwa nini usipaishe huyo makufuli wako cos all you're doing ni kumpa Lowassa publicity every, single, day!

Talking about ahadi, vipi chama chako na ahadi walizoweka miaka nenda rudi!!!
Halafu anzeni kuchimba shimo la kujifukia...kwikwi!
 
Last edited by a moderator:
Kumbe hata baada ya kuapishwa bado Buhari ni Rais Mteule?
Kawaulize wanaokulipa umtukane Mgombea wa UKAWA wao wamekuwa legelege kwa miaka zaidi ya 50 sasa kwa kuwa nao hawajawaahidi wananchi kitu? Au na Kikwete ni Rais Mteule kama unavyomwita Buhari?
 
Kwa nini? Kwa vile wana mawazo tofauti na wewe? Na wewe wanakuonea huruma hivyo hivyo!

Kuwa na mawazo tofauti na mimi silo issue na kwa watu wanaojitambua hilo halikwepeki hata kidogo. issue ni jinsi mtu anavyokuwa obsessed na kitu mpaka analazimisha kila kitu kiwe sawa na anavyofikilia yeye. ukifika hatua hiyo lazima huruma tukuonee.
 
Back
Top Bottom