Sikutegemea lakini ndio imetokea, Nifanyeje?

Ndo basi tena ameshaleta aibu juu ya elimu za watu.Sina uhakika kama alivuka form two huyu aliyeandika hii habari.

wacha kupima kw kufikiri jo,
nina ufaulu uliotukuka kweny ngaz zote huko chin mpk chuo nw udsm
 

kumbe ww n mzinzi uliyestaafu,
nyoka hata akivua gamba anaendelea kuwa nyoka o panya???
 

Hawa ndio wasomi wetu

UNAFIKIRI JAMIIFORUMS NZIMA INA WATOTO KAMA

WEWE

Invisible HEBU PELEKA HII THREAD

KWENYE CHIT CHAT


LUGHA YENYEWE KICHEFUCHEFU
 
Last edited by a moderator:
Zali ilo hongera jembe izo chance zikinipata mimi sivungi ata siku moja natembeza dudu mpk kwa mama mwenye nyumba
 
umewakilisha sio!! sasa we dogo unafahamu kuhusu VIRUSI VYA UKIMWI na UKIMWI?
Achana na ngono soma kwanza wanawake wazuri wapo wanazaliwa kila siku.
Halafu mbaya zaidi unakula mwanamke wa mtu, utakuja kujutia maisha yako yote
 
Huyu nyang'au vipi? ningemjua ningempa za kichina mpuuzi sana huyu anafikiri kila mahali ni pa kuandika upuuz wake toi
 
Kwa mwandiko huu Utakuta huyu nae anapokea boom
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…