Sikusema nae...

Nakapanya

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2012
Posts
2,096
Reaction score
709
Heshima kwenu wana MMU
Hakika mapenzi ni mchezo mtamu sana hasa pale inapotokea wawili walioshibana haswaaaa.Nilimpenda sana Mpenzi wangu H,na mimi niliamini ananipenda kama nilivyompenda hii ni kutokana na maneno yake matamu na mambo mengi aliyonifanyia kama mpenzi wake.Hata siku moja sikuwahi kufikiria kama angekuja kunisaliti na kutoka na bwana mwingine.Stori nzima ipo hivii.rafiki zangu zangu pamoja na watu wengine walionifahamu mara kwa mara walikuwa wakiniambia juu ya usaliti anaonifanyia mpenzi wangu H,sikutaka kuaminio maneno yao kwani niliamini mpenzi wangu ananipenda kwa dhati.Sikuy moja nilishuhudia kwa macho yangu mwenyerwe kwenye maeneo fulani mpenzi wangu AKIPIGWA DENDA HUKU AKISHIKWA SEHEMU MBALIMBALI ZA MWILI WAKE na jamaa mmoja niliyemfahamu.Moyo wangu uliumia sana na WALA SIKUSEMA NAYE lolote wakati ule mpaka alipokuja home,niliuuliza juu ya maneno yanayasemwa na watu juu ya tabia zake lakini alibisha akisisitiza niko peke yangu na kamwe hawez kunisaliti.Nikamweleza juu ya tukio nililolishuhhudia mi mwenyewe lakini akakana kwa vile tu SIKUSEMA NAE NILIPOMUONA AKIFANYA UCHAFU WAKE.
Naomba wana JF/MMU MNISHAURI NIFANYE NINI AU NICHUKUE UAMUZI GANI juu ya huyu mpenzi wangu ambaye nilipanga kuoana nae muda si mrefu?
 
huyo hastahili hata kuongea na wewe
kama ulimwona alaf anabisha, usimsemeshe neno tena mpaka ajirudi mwenyewe.
achana naye, Mwenyezi Mungu alikuonesha makusudi ili umwache, usiwe m bishi
 
Pole sana mdogo wangu!
Achana nae kabisa huyo dem atakuuwa !! fanya maamuzi haraka, wanawake wako wengi sana warembo na waliotulia
huyo hata iweje hataacha hayo matatizo yake, ana mapenzi ya kilagai na uwongo !!
 
duh!! pole sana mwana. wajua hapo kwa kuwa ulishapata ushahidi mwenyewe kubali yaishe hakufai kabisa huyo ila naomba ufanye jambo moja tuu....mle tigo
 
Naomba wana JF/MMU MNISHAURI NIFANYE NINI AU NICHUKUE UAMUZI GANI juu ya huyu mpenzi wangu ambaye nilipanga kuoana nae muda si mrefu?

amekwambia anataka umuoe........?
 
pamoja na ushahidi wote huo inaonekana bado huamini kama ni kweli mpenzi wako si mwaminifu, kweli love is blind , fanya maamuzi magumu kumbuka ukiamua kumuua nyani usimwangalie usoni
 
Mwanangu Nakapanya mshukuru Mola wako kwa kukuonyesha uoza wa huyo uliyemdhania afaa. So simple. Ukishajua sumu ya kitumbua unang'ang'ania cha nini zaidi ya kumshukuru Mungu na kutafuta kingine? Kwani wanawake wameisha hadi ujikondesha na kujiumiza hivyo? Acha ujuhaa fanya maamuzi magumu maana ushapewa sababu ya kufanya hivyo hata kama hukuwa na nia.
 

Kwa nini ulipomuona hukusema nae?
Mwizi siku zote huwa anakana kuiba hadi umkamate na mali ya wizi mkononi!
Je unasubiria umkute huyo jamaa anajivinjari nae kunako 6x6 ndio umsemeshe au ufanye uamuzi wa nini hatma ya uhusiano wenu?
Kama hujamuoa keshakuonyesha picha, je unadhani ukumuoa ndio atatulia?
Kaka, kama kusoma hujui hata picha huoni?!
Kila la kheri!
 
pole sana kaka ulitakiwa kusema nae au basi ujitahidi akuone.
 
Uamuzi tayar unao ni kuachana nayo tu. Hakuna ushahidi wa kuaminika kama eye witness, sasa kama rafiki zako walikwambia na wewe mwenyewe mwenyewe umemwona kwa macho yako sasa unataka hapa ushauriwe nini. We amua mwenyewe kuendelea kushare ama kumtema. Na kwa taarifa yako unavyositasita kuchukua maamuzi usizani magonjwa nayo yanasita kama unavyofanya. Mi nadhani hapa huna haja ya kujiuliza, umeshajua mko wangapi we chukua hatua tu.
 
Uzuri umeshuhudia mwenyewe. Kama anakucheat hata hamjaoana usitegemee tofauti mkishaoana. Yeye moyoni mwake anajua kabisa kuwa ulimuona, huhitaji ushahidi. Chukua uamuzi, muache. Utapona maumivu ya moyo badae lakini ni bora maumivu ya sasa kuliko hofu na.mashaka kwa.muda wote mtakaokuwa pamoja.
 
duh!! pole sana mwana. wajua hapo kwa kuwa ulishapata ushahidi mwenyewe kubali yaishe hakufai kabisa huyo ila naomba ufanye jambo moja tuu....mle tigo
nahukuru kwa ushauri wako ndugu ila dhambi hiyo siwez kuifanya ya kwenda kinyume na maumbile
 
thanx for your advice i shall work on it
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…