amini neno la mwisho... kuwa hakupendi.... and life must go on!
Huyu alikuwa anamihemko tu sio mapenzi[sio upendo]mtu unamtangazia nia,anakusikiliza,mwisho anakukubalia,anakiri kukupenda pia,anakuonyesha upendo,anakujali,anajisikia faraja hata mbele ya rafiki zake anakutambulisha,anakukabidhi kila kitu kwenye mwili wake.
Ni kweli alikuwa hakupendiSASA UTATA:inakuwaje msichana leo anakutamkia kuwa HAKUPENDI,she doesn't love you.
Hayo ni mambo yanayoonesha mapenzi sio upendo!Kama ndivyo kwa nini akufanyie mambo yenye kukuonyesha upendo wakati hakupendi?
Inawezekana ikawa kweli hawakuwa wanamaanisha kutupenda!Hivi wadada huwa mnamaanisha kweli kuwa hamtupendi?
kwa nini awali mnasema mnatupenda na baadae mnabadilika?Tuelewe lipi na tuamini lipi?
Ukiona hivyo jua amekutana na boya ambaye anamfanyia anavyovitaka...nina maana amekutana na mwenye udhaifu zaidi yako ambaye atamshika masikio amfanyie anachota dem..,.,madem wanapenda watu wadhaifu kwao ili wapate kila wanachotaka...mtu unamtangazia nia,anakusikiliza,mwisho anakukubalia,anakiri kukupenda pia,anakuonyesha upendo,anakujali,anajisikia faraja hata mbele ya rafiki zake anakutambulisha,anakukabidhi kila kitu kwenye mwili wake.
SASA UTATA:inakuwaje msichana leo anakutamkia kuwa HAKUPENDI,she doesn't love you.
Kama ndivyo kwa nini akufanyie mambo yenye kukuonyesha upendo wakati hakupendi?
Hivi wadada huwa mnamaanisha kweli kuwa hamtupendi?kwa nini awali mnasema mnatupenda na baadae mnabadilika?Tuelewe lipi na tuamini lipi?
Yap mtu anakujibu I LOVE YOU TOO just because you said I LOVE YOU...while they dont even mean it or feel it...Haya matumizi mabaya ya neno nakupenda ndo yanaleta tabu na mkanganyiko.
Ukiona hivyo jua amekutana na boya ambaye anamfanyia anavyovitaka...nina maana amekutana na mwenye udhaifu zaidi yako ambaye atamshika masikio amfanyie anachota dem..,.,madem wanapenda watu wadhaifu kwao ili wapate kila wanachotaka...
Sumu ya mapenzi ni maudhi, inawezekana alikuwa anakuonesha mapenzi na alikuwa anakupenda kweli ukamfanyia dharau kwa kujiona wa maana sana. Mapenzi yameisha sasa, uliyamaliza mwenyewe