SIKUKUU YA WAJINGA

MamaSamia2025

JF-Expert Member
Mar 29, 2012
12,918
28,982
Habari JF,

Leo ninaweka niliyo nayo moyoni kuhusu hii sikukuu ya wajinga tarehe 1 Aprili. Kwangu mimi ninachukulia ni sikukuu ya kishetani maalum kwa ajili ya kusema uongo. Sio kila atakacholeta mzungu tukikubali. Kuna vingine vya kipuuzi na kishetani kama hii inayoitwa sikukuu ya wajinga.
Nachukua nafasi hii kuwalaani wote watakaodanganya wenzao kesho kwa kisingizio cha siku ya wajinga.
 
Si bora hata hao walioweka hiyo siku ya 1/April mwisho saa nne asubuhi , hizi siku 364 zilizobaki ni uongo tu kuanzia asubuhi mpaka asubuhi
 
Back
Top Bottom