Inaweza kuwa kesho Jumatatu, lakinibJumanne ni lazima kwani siku 30 za kufunga kwa waliowengi ni kesho, na hairuhusiwi kuzidisha siku30 kwa Sheria za Kiislam.
wafanyakazi wako busy leo kuulizia kama mwezi umeandama ili waendelee kuvuta mashuka asubuh ya kesho. Kwa anaejua atupe updates ili tujue kwa kuwa namimi ni mmoja wao.