VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,140
- 18,004
Leo tusahau siasa na tusherehekee. Tupunguze mawazo ya wazi na ya moyoni tujiachie kwa furaha na staha. Tusherehekee kwa makini na amani.
Leo nimekuja Lushoto kubadili upepo. Kusherehekea. Kuzaliwa kwa Bwana. Na familia yangu nzima.
Wewe uko wapi leo mwana-JF mwenzangu?
Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
Leo nimekuja Lushoto kubadili upepo. Kusherehekea. Kuzaliwa kwa Bwana. Na familia yangu nzima.
Wewe uko wapi leo mwana-JF mwenzangu?
Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam