Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,626
- 65,099
- Thread starter
-
- #41
Level hiyo tulishatoka, tupo kwenye kumiliki na kutumiakama nalala na ngosha mwenzangu,, vipi kiongozi inaonekana wewe unaweza kulala uchi bedroom moja na mwanaume mwenzio.
Nina read btn the lines.Ata huyu bibie anaelewa anaiba; ila kwa sarakasi anazonipa inawezekana anataka amzidi mmiliki wa mali; muda wote ananipa joto joto tu 😀
Kwa hiyo umeweka mikakati gani mpaka sasa, ili isikupite mbali?Leo pilau naiskilizia tu dirishani 😁
Unapata wapi muda wa kushika simu huku ukiwa unabonyeza hicho Kinanda au nikibovu..?😀 😀 mambo mazuri hayaitaji haraka, nipo hapa nabonyeza bonyeza kinanda huku mziki laini ukiburudisha, na glass ya mvinyo kwa pembeni; maisha ya mahusiano yana raha sana.
Nakubali.Level hiyo tulishatoka, tupo kwenye kumiliki na kutumia
Leo nimekubali kudraw mechi ngoma bila bila! Nilale siku nzima Sina mzuka wa kuzini leoKwa hiyo umeweka mikakati gani mpaka sasa, ili isikupite mbali?
Nina read btn the lines.
Haupo Kwa mchepuko na wala huna...infacts wewe ni baba Bora na unawapenda wanao
Utakulaje sikukuu mwenyewe, umekuwa mchawi; toka hapo ulipo, nenda kiwanja agiza ile chupa kubwa ukandamize huku ukitafakari mambo mengine ya kidunia.Leo nimekubali kudraw mechi ngoma bila bila! Nilale siku nzima Sina mzuka wa kuzini leo
hiiii atakua baba bora kwel🤣🤣🤣Nina read btn the lines.
Haupo Kwa mchepuko na wala huna...infacts wewe ni baba Bora na unawapenda wanao
Tatizo hela ikikata mapenzi yanapotea 😀 😀Kula mbususu mwanawane NDIO laha yakua mwanaume tumia mbususu ikuzoee.
Kuna kiumbe nakivutia pumzi sitaki kuanza kuhangaika Leo jmos usiku kuna kuna hela inaenda kupotea, naenda kutafuta UTI kwa hiyar yangu, naenda kusanya balaa mikosi na laana kwa hiyari yanguUtakulaje sikukuu mwenyewe, umekuwa mchawi; toka hapo ulipo, nenda kiwanja agiza ile chupa kubwa ukandamize huku ukitafakari mambo mengine ya kidunia.
Inabidi usogee karibu ili ukione vizuri; unakunywa kinywaji gani kwanza?Unapata wapi muda wa kushika simu huku ukiwa unabonyeza hicho Kinanda au nikibovu..?
😀😀Kuna kiumbe nakivutia pumzi sitaki kuanza kuhangaika Leo jmos usiku kuna kuna hela inaenda kupotea, naenda kutafuta UTI kwa hiyar yangu, naenda kusanya balaa mikosi na laana kwa hiyari yangu
Huyu Hana mchepuko....Hana trust mehiiii atakua baba bora kwel🤣🤣🤣
Mi nkajua Mwenetu wa early 20's anafurahisha genge
😀 😀 😀 si unajua mapenzi ya wazee huwa hayana papara?🤣🤣🤣🤣🤣🤣maajabu,umepata na muda wa kuandika!hamna bashasha hapo,,hii stori ilitakiwa ije kesho
Sawa Mzee!Tolekaa😁😀 😀 😀 si unajua mapenzi ya wazee huwa hayana papara?
Mi nakula sikukuu siku yeyote tu nikijisikia kuila😂😂😂😂Leo nakunywa zangu home Sina habariSikukuu unakula peke yako, haipendezi 😀 😀