Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,626
- 65,099
- Thread starter
-
- #21
Umewaza nini π πCha ajabu utashinda humu unasukuma siredi yako.!
Karibu mkuu, uje ujumuike; maisha ni haya haya
Ataanzia wapi, sisi wamasai tukishachomeka mshale hapo nje, mwanaume yeyote atakiwi kuingia ndani; ukiingia labda hujipendiAcha kujiamini kijana, jamaa atatumia mbinu za kivita kukufurahia kimaisha
Wewe ni mume WA mtu? Mbona unamuita huyo mchepukoπ π mambo mazuri hayaitaji haraka, nipo hapa nabonyeza bonyeza kinanda huku mziki laini ukiburudisha, na glass ya mvinyo kwa pembeni; maisha ya mahusiano yana raha sana.
Na yeye siku akichomeka mshale wake hutofurukuta. Na atakaeingia kuamulia labda hajipendiAtaanzia wapi, sisi wamasai tukishachomeka mshale hapo nje, mwanaume yeyote atakiwi kuingia ndani; ukiingia labda hujipendi
Hisia zitanipa muongozo; ila maisha matamu wakuuKwahiyo utakula kwanza ndipo ule ama utakula kwanza?
Ndoa zetu zinaimarika na kuzeeka pamoja, kwa hisani ya michepuko yenye akili.Wewe ni mume WA mtu? Mbona unamuita huyo mchepuko
Kula kwanza pishi kisha mpishi, jua likizama akili itakurudi huku mfuko ukiwa umetoboka.Nifanyeje ili niweze kutoka?
Tatizo mapori yamekuwa mengi mkuu na yanahitaji watu wenye uwezo wa kujenga viwanda.Usiongeze single maza mwingine mkuu..hawa wanatosha.
Nyie ndio huwa mnalala na suti kitandaniUnapata wapi ujasiri wa kutuambia wanaume wenzio tena marijali kwamba hapo upo na vest tu na taulo???
Wazee wetu walikuwa wanaona mbali sanaNa yeye siku akichomeka mshale wake hutofurukuta. Na atakaeingia kuamulia labda hajipendi
Hahaha kiri Kwa kinywa chakoNdoa zetu zinaimarika na kuzeeka pamoja, kwa hisani ya michepuko yenye akili.
kama nalala na ngosha mwenzangu,, vipi kiongozi inaonekana wewe unaweza kulala uchi bedroom moja na mwanaume mwenzio.Nyie ndio huwa mnalala na suti kitandani
Kweli bila hela hupati kitu, utaishia kutamani tu; toto kaniegemezea kalio hapa, najaribu kujiuliza ni real love au ni usanii π πKula kwanza pishi kisha mpishi, jua likizama akili itakurudi huku mfuko ukiwa umetoboka.
Saizi hata tukikuambia huwezi kutuelewa
Kijana mwenzetu huyo nae anaona mbali sanaWazee wetu walikuwa wanaona mbali sana
Ata huyu bibie anaelewa anaiba; ila kwa sarakasi anazonipa inawezekana anataka amzidi mmiliki wa mali; muda wote ananipa joto joto tu π