Sikukuu iwe j3 na j4 tafadhali...

maroon7

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2010
Posts
11,345
Reaction score
15,852
Wandugu waislam naombeni mfanye mpango mkakati sikukuu ya Idd iwe jumatatu na jumanne tafadhali...natanguliza shukrani sana ni mategemeo ombi langu litakubaliwa..
 
Wandugu waislam naombeni mfanye mpango mkakati sikukuu ya Idd iwe jumatatu na jumanne tafadhali...natanguliza shukrani sana ni mategemeo ombi langu litakubaliwa..

Tehe tehe tehe mdau
 
Yangu macho kwa ombi hili la kistatehe
 
Hakuna mkakati ndugu....tunaangalia muandamo wa mwezi tu,na probably ikawa j4 na j5..

Hapana mkuu, sikukuu itakuwa ni kati ya j4 au j3 na sisi tulioanza tar 28 june huenda ikawa j2.Yote hayo itategemea muandamo wa mwezi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…