Sikujua kama Mama wa kichanga akifariki kichanga atanyonyeshwa na mwanamke yeyote hata asiye na mtoto

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
19,580
44,826
Aisee mengi siyajui dunia hii na yanatokea kumbe mama wa kichanga akifariki yule mtoto akikabidhiwa mwanamke mwingine ambaye amewahi kuzaa yule mtoto akinyonya baada ya muda maziwa ya yule mama yataanza kutoka na mtoto atanyonya maziwa yale na atakua vizuri kabisa.

Na nimeambiwa ni mwanamke hata mwenye umri wa utu uzima mfano bibi wa mtoto ingawa kuna baadhi ya imani kwamba lazima mwanamke huyo apakwe dawa fulani za majani na wazee ila kisanyansi inaonekana hata bila dawa mtoto ana stimulate chuchu za mwanamke mpaka zinatoa maziwa.
 
Ulichelewa kujua hilo.

Mtoto ananyonyeshwa na yeyote na anakua vizuri tu.

Pia mwanamke hata kama hanyonyeshi, akitengenezewa "mazingira" ya kunyonyesha, ananyonyesha tu bila kujali umri wake.
 
Aisee mengi siyajui dunia hii na yanatokea kumbe mama wa kichanga akifariki yule mtoto akikabidhiwa mwanamke mwingine ambaye amewahi kuzaa yule mtoto akinyonya baada ya muda maziwa ya yule mama yataanza kutoka na mtoto atanyonya maziwa yale na atakua vizuri kabisa.

Na nimeambiwa ni mwanamke hata mwenye umri wa utu uzima mfano bibi wa mtoto ingawa kuna baadhi ya imani kwamba lazima mwanamke huyo apakwe dawa fulani za majani na wazee ila kisanyansi inaonekana hata bila dawa mtoto ana stimulate chuchu za mwanamke mpaka zinatoa maziwa.
Hii ni kweli. Aliniambia Babu jinsi baadhi ya watu katika ukoo wetu walipitia
 
Yupo mdada aliwahi nyonyweshwa na bibi baada ya mama kufariki wakati anajifungua.

Bibi alimchukulia kama mwanaye, ikaenda dada akajua baadae kuwa mama aliishafariki.

Dada akaanza kumdharau yule bibi, bibi akafa, dada alipata mkosi mwisho alianza kuomba msamaha kaburini,
 
Back
Top Bottom