Jamani na mie nifahamisheni kama na mwanamke au mama wa mtoto nae anapimwa kwa pamoja na baba au ni paternity tu.
Kuna uwezekano wa mtoto kuwa amabadilishwa hospitali kwa makosa sana sana siku za nyuma hospitali za serikali zilikua na vurugu sana.
pili ikifahamika mtoto si wenu nyote inakuwaje sasa...??? mama duh.
Labda qlibadilishiwa mtoto hospital...
au alikalia sperms bila kujua chooni.
Kuna uhusiano mkubwa kati uwezo wake na gharama za kutafuta ukweli.akapime nje ya nchi tu..
Tanzania full rushwa na kubahatisha..mwambie aende South Africa
Kwa kifupi kuna mwanamke ameniulizia kama hajaridhika na matokeo ya kipimo cha DNA kinachofanyika pale Ocean Road, je kuna njia yoyote ya msaada zaidi ya kurudi palepale,,,amefanya kipimo kwa takribani mara tatu sehemu hiyohiyo lakini haridhiki na matokeo anayopewa sasa anachotaka ni msaada wa kisheria au wa kijamii ni vipi anaweza kusaidiwa kwasababu yeye anaamini mtoto aliepimwa ni wa mume wake lakini kipimo kinakataa.
La pili, je kipimo kikionyesha kutoa majibu yasiyo sahihi unaweza kudai fidia kwa wao kuja kukulipa..mfano kipimo kikisema Fulani ni mtoto wako halafu baada ya miaka kumi mkapima tena na mwanaume mwingine (kukitokea mazingira ya mtu mwingine kudai yule ni mtoto wake) ikaonekana mtoto sio wako ni wa yule mwanaume mwingine,,,je mazingira hayo unaweza kudai fidia kwasababu tangu majibu ya kwanza yaliposema mtoto ni wako ulianza kutumia gharama za kumlea..
Hili lina uwezekano...
Lakini hili ...duh!!!
Huwa naimagine mtu akikalia sperm bila kujua afu kikatick ni nightmare.
Kwanini walienda kupima in the first place?
Kama ndoa haina uaminifu, wanaweza wamalize hospitali.
Family Tree DNA - Understanding DNA
Understanding DNA
DNA is the carrier of our genetic information, and is passed down from generation to generation. All of the cells in our bodies, except red blood cells, contain a copy of our DNA.
At conception, a person receives DNA from both the father and mother. We each have 23 pairs of chromosomes. Of each pair, one was received from the father and one was received from the mother.
These 23 pairs of chromosomes are known as nuclear DNA because, with the exception of red blood cells, they reside in the nucleus of every cell in our body.
The 23rd chromosome is known as the sex chromosome. As with the other chromosomes, one is inherited from the father, and one from the mother. The 23rd chromosome from the mother is always an X. From the father, a person either inherits an X chromosome or a Y chromosome. The chromosome inherited from the father determines their gender. An X from the father would result in an XX combination, which is a female. A Y from the father would result in an XY combination, which is a male.