1995_No_Ku_Fake
JF-Expert Member
- Aug 24, 2026
- 1,561
- 3,322
Wee ni yule dogo?Kuna kitu kimoja nataka watu waelewe kuhusu mimi. Sipendi dharau, na sijawahi kuona umaskini wa mtu kuwa ruhusa ya kumdhalilisha.
Leo sina pesa, sawa. Leo nimelewa, sawa. Lakini msichanganye hali yangu ya leo na thamani yangu kama binadamu. Kukosa kitu mfukoni hakumaanishi umekosa akili, heshima wala utu.
Mimi naweza kukaa kimya nikadhaniwa sina uwezo, nikacheka nikadhaniwa sina mawazo, au nikapitia kipindi kigumu nikadhaniwa nimeisha. Lakini ukweli ni kwamba maisha yana misimu yake.
Sihitaji kujifanya tajiri ili niheshimiwe. Wala sihitaji kumdharau mtu ili nionekane nina thamani.
Ninaweza kukosa pesa, lakini sitaki kupoteza utu wangu kwa sababu ya pesa.
Na kama leo nimelewa, kesho ni siku nyingine. Maisha yanaendelea.
Kitu kimoja tu: usinipime kwa nilichonacho leo, maana hata wewe hujui kesho yako imebeba nini.
HESHIMA KWANZA. MENGINE NI MAJARIBU YA MAISHA.
β Mawazo ya mtu ambaye bado hajafika, lakini hajakubali kushindwa.
Kuna mtu anakufatilia humu?Leo sina pesa, sawa. Leo nimelewa, sawa. Lakini msichanganye hali yangu ya leo na thamani yangu kama binadamu. Kukosa kitu mfukoni hakumaanishi umekosa akili, heshima wala utu.
Nikujibu vibaya....unionee mbaya dogo gani UnaemsemeaπWee ni yule dogo?
Sina Chochote Anifatilie Tyu ..Ila NI Me Note Ujumbe Wako π€Kuna mtu anakufatilia humu?
Sawa mkuu wahi home kesho nayo ni siku vyupa vipo tuu.Sina Chochote Anifatilie Tyu ..Ila NI Me Note Ujumbe Wako π€
Yule wa 1995πNikujibu vibaya....unionee mbaya dogo gani Unaemsemeaπ
Kama upo na mimi...noted by the way πππSawa mkuu wahi home kesho nayo ni siku vyupa vipo tuu.
Sawa mkuu au unakula wi-fi ya bure unaogopa utatukosa wana jfKama upo na mimi...noted by the way πππ
adriz hamna kitu....πNyuzi zako zinakuwa na madini sana
View attachment 3692116
We Unajuaje hadi Natumia wifi ya Bure πππΊπΊSawa mkuu au unakula wi-fi ya bure unaogopa utatukosa wana jf
True. Respect is earned through actions, but never mistake kindness for weakness. You can respect everyone without allowing anyone to disrespect you.Respect cannot be demanded, it must be earned through actions, integrity, and how you treat others.
Nimesoma tuu uzi nikajua lile sio bando lakoπ₯ΈWe Unajuaje hadi Natumia wifi ya Bure πππΊπΊ
Kwishaa Enyewe ππππ π πNimesoma tuu uzi nikajua lile sio bando lakoπ₯Έ
Kwa huu ung'eng'e akupe tena moja kwa bele yakoπ€True. Respect is earned through actions, but never mistake kindness for weakness. You can respect everyone without allowing anyone to disrespect you.