Sikuattach result slip, je nitakosa mkopo?

Jaman msaada hiv kama mtu kamaliza kutuma fom tayar kwa ems Je kuna uwezekano wa kwenda kuatach result slip ya f6 coz niliwah kutuma kabla ya result slip kutoka

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo ndo imeshapita hivyo, mwaka jana walikuwa wanahitaj nakala ya cheti cha f4 pia result slip ya f6. Ila kuna majina huwa wanatoa kwa waliokosea na ambao hawaku ambatanisha vitu vya muhimu kufanya masahihisho so subir hadi huo muda ufike ndo utume.nakama kuna sehemu hukuweka hata sahihi itakulazimu hufike hadi bodi ukaweke,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkopo hutokosa kama umekidhi vigezo vya kupata mkopo.
Kuna majina yatatoka kwa ajili ya marekebisho kwahiyo utafanya usiwe na hofu mkuu.
 
Usiwe na hofu. Wanaopaswa kuweka vyeti ni waliomaliza mwaka jana kurudi nyuma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…