nimemficha kwa sababu za kiusalama ila kwa vigezo nilivyokupa umeshindwa kumtambua aisee, haya ngoja nikusaidie tena, huyo mtangazaji jina lake linaanziwa na d, anatanngaza katika kipindi cha mitindo yaani fashion ambacho hicho kipindi ni maarufu na pia hiyo channel anayotangaza ni mtoto wa ni mtoto wa channel moja kubwa inayosifika kwa mahabari na breaking news afrika mashariki nzima., upo adakiss23?
si yule jamaa anatangaza na mdada mweusi anaweka hereni puani kama ng'ombe maksai....? uyo mdada alikuwa host show ya swahili fashion weekUmeshamjua!??