WA KISHUA
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 365
- 130
Habari za Mchana wanajamvi, natumaini mnaendelea vizuri na majukumu mbalimbali ya kulijenga taifa, Leo nimekuja na huu UZI wenye kichwa cha habari kinachosomeka ''SIKUAMINI MACHO YANGU'', waswahili wanasema ukistaajabu ya Musa Utayaona ya Firauni na ndio maana nikaona nije nithibitishe hapa JUKWAANI hiki kitu.
Huu sio uzushi ila ni mimi mwenyewe nimeona by my nekkid eyes na pia nimepata ushahidi wa kutosha, katika tembea yangu ndani na pia nje ya nchi nimeona asilimia kubwa ya hawa watu wanaojiita wabunifu wa mavazi na piai wanamitindo wa jinsia ya kiume wengi wao wameangukia kwenye huu mchezo mchafu wa USHOGA, tumesikia media nyingi na vyombo mbalimbali vya habari hapa nchi kwetu na kwingineko dunia wakijadili hili suala la ongezeko la USHOGA hasa kwa watu walio katika fani hii maarufu ya mitindo, kusema ukweli wa moyo hiki kitendo kimekuwa kikiniuma MOYO sana hasa ukizingatia nafasi aliyopewa mwanaume katika jamii na pia hata kimamlaka tangu kuumbwa kwa nabii ADAM, endapo inapotokea nimesikia au kuona kwa macho yangu huwa napata mfadhaiko sana na kuona kama hao wenzetu wanaliabisha jeshi zima la WANAUME.
Siku ambayo dunia ilikuwa inaadhimisha sikukuu maarufu ya wapendanao yaani Valentine Day, niliona niende sehemu tofauti kidogo ili japo niweze kubadilisha mazingira na kupata new idea, basi nikapanda zangu boat mpaka kisiwani Zanzibar ambapo nilikuwa na baadhi ya rafiki zangu na ndugu pia, baada ya kufika Zanzibar