Hasabu kila nikipiga haiingii akilini?
Yaani nikipiga bei halisi ya chuma chakavu kwa kilo moja ikapelekwa kiwandani ikachomwa kikatoka chuma cha rail kikatandazwa chini kwa kilometa moja huku na huku yaani pair moja kokoto zipo pale pale tuta lipo pale pale either kuongezea kokoto nyingine au kuweka kokoto zingine mpya na zege ya kubebea rail ni kama ufyatuaji tena tunatumia cement ya Dangote bei rahisi au zile zetu za miaka yote simba,Twiga,Nyati n.k ndani ya zege kuna nondo za milimita kadhaa ukikusanya hizo gharama unapata dollar million 3.5 hadi 4??? nadhani ufundi ndio bei juu kuliko Gharama halisi... au mimi Sielewi siasa?
Kile Chuma cha reli kinaitwa HMS1 au HMS2, fuatilia ujue kama kinatengenezwa na chuma Chakavu cha kuokota mtaani Kama nondo, yawezekana ni bei mbaya sana mkuu!