Young Tanzanian
JF-Expert Member
- Mar 10, 2012
- 1,736
- 293
Kikowapi CDM wanaonea dagaa,wanyonge wao kina shonza,mbona mzee mzima ZZK hawamgusi!
Hata siku za ccm yenyewe pia zinahesabika.tena na vidole vya mkono mmoja.
.Kwa hakika sasa si siri tena siku za gamba kubwa CCM Edward Ngoyaye Lowassa a.k.a Fisadi wa Richmonduli ndani ya CCM zinahesabika.
Hii ni kutokana na ukweli kwamba kifikia tar 12/02/2013 Kamati Kuu ya CCM itakuwa imeundwa na baada ya kupata pigo kubwa kwa Makamu Mwenyekiti Mzee Mangula, Katibu Mkuu Kinana na Kurudishwa kwa adui yake mkubwa Nape basi pigo la mwisho kwa EL ni uundwaji wa CC ambao kwa vyanzo vya jikoni kabisa..hakuna mtu wake hata mmoja.
Ikumbukwe vikao vitatu vya mwanzo vya uchujaji majina ya urais ni Sekretarieti chini ya Kinana na Nape, Kamati ndogo ya Maadili chini ya Mangula na Kamati Kuu chini ya JK...na kote huku hakuna kupiga kura ni mjadala tu then maamuzi..
Haya niyasemayo yalimkuta Lowassa mwaka 1995 aliondolewa kwenye kinyang'anyiro bila kura, yalimkuta pia Malecela aliondolewa bila kufilishwa kwenye kura...historia itajirudia 2015.
Mkuu Honey K,
1. Mbona Kinana naye ana tuhuma fulani hivi zinachukuliwaje na CCM!
2. Mbona JK amekalia tuhuma mbalimbali, yaani
a) Deep Green Finance,
b) Mwananchi Gold,
c) Meremeta,
d) Rada
e) EPA - hapa CCM imeshindwa kujibu alipo "Marehemu" Daudi Balali
f) Richmond, nk, na alipitishwa kugombea uchaguzi mkuu 2010 na sasa hivi ameendelea kulea rushwa ambayo imeendelea kuitafuna CCM hadi kwenye mifupa?
3. Wewe unafiliri CCM ilivyo kwa sasa ina "moral authority" ya kupambana na rushwa? Maana ikifika kwenye kura za maoni tunashuhudia jinsi CCM inavyotembeza rushwa kwa wapiga kura na viongozi WENGI kama si wote wa CCM
wametokana na rushwa!
Labda kwa kukolimbwa. Alimuuliza swali moja bosi wake kuwa ni jambo gani alilipitisha bila kumshirikisha, hajawahi kujibiwa hadi leo. Yule pale mnavyomwona hatoki ccm, labda atake mwenyewe. Ni mwaga mboga nimwage ugali, hadithi tu ndio kitakachoendelea, hamna cha kumvua gamba wala nn