Kwa hakika sasa si siri tena siku za gamba kubwa CCM Edward Ngoyaye Lowassa a.k.a Fisadi wa Richmonduli ndani ya CCM zinahesabika.
Hii ni kutokana na ukweli kwamba kifikia tar 12/02/2013 Kamati Kuu ya CCM itakuwa imeundwa na baada ya kupata pigo kubwa kwa Makamu Mwenyekiti Mzee Mangula, Katibu Mkuu Kinana na Kurudishwa kwa adui yake mkubwa Nape basi pigo la mwisho kwa EL ni uundwaji wa CC ambao kwa vyanzo vya jikoni kabisa..hakuna mtu wake hata mmoja.
Ikumbukwe vikao vitatu vya mwanzo vya uchujaji majina ya urais ni Sekretarieti chini ya Kinana na Nape, Kamati ndogo ya Maadili chini ya Mangula na Kamati Kuu chini ya JK...na kote huku hakuna kupiga kura ni mjadala tu then maamuzi..
Haya niyasemayo yalimkuta Lowassa mwaka 1995 aliondolewa kwenye kinyang'anyiro bila kura, yalimkuta pia Malecela aliondolewa bila kufilishwa kwenye kura...historia itajirudia 2015.

Mkuu Honey K,
1. Mbona Kinana naye ana tuhuma fulani hivi zinachukuliwaje na CCM!
2. Mbona JK amekalia tuhuma mbalimbali, yaani
a) Deep Green Finance,
b) Mwananchi Gold,
c) Meremeta,
d) Rada
e) EPA - hapa CCM imeshindwa kujibu alipo "Marehemu" Daudi Balali
f) Richmond, nk, na alipitishwa kugombea uchaguzi mkuu 2010 na sasa hivi ameendelea kulea rushwa ambayo imeendelea kuitafuna CCM hadi kwenye mifupa?
3. Wewe unafiliri CCM ilivyo kwa sasa ina "moral authority" ya kupambana na rushwa? Maana ikifika kwenye kura za maoni tunashuhudia jinsi CCM inavyotembeza rushwa kwa wapiga kura na viongozi WENGI kama si wote wa CCM wametokana na rushwa!
Kinana, Lowasa na JK ni marafiki wa muda mreeefu, wala si wa kukutana barabarani!
Wewe hujui unaandika nini lowassa ndio mwenye chama huyo mwenyekiti wako huwa anamfuta nguludoto kule,unabwabwaja tu subiri uone mziki wake kama kuna mtu anaweza kumnyoshea kidole ndani ya ccm!!!!!!!!
Honey K
Ila kuweni makini kaka.
Haya mambo ya watu kuwekana ndani ya chama kwa kupangana kiasi cha kwamba inafikia watu kushindwa kuwajibishana ndiyo yanayotuharibia chama.
Kuweni makini sana kwa sababu siasa za sasa zinahitaji weledi na uadilifu mkubwa la sivyo lazma tutapata changamoto kuu.
Thubutu maccm hayana tabia yakuadabisha wanachama wanao toka nje ya mstari.
Honey K
Ila kuweni makini kaka.
Haya mambo ya watu kuwekana ndani ya chama kwa kupangana kiasi cha kwamba inafikia watu kushindwa kuwajibishana ndiyo yanayotuharibia chama.
Kuweni makini sana kwa sababu siasa za sasa zinahitaji weledi na uadilifu mkubwa la sivyo lazma tutapata changamoto kuu.
mkuu big up lakini usimwite mtu marehemu ikiwa hujathibitisha maiti yake au unawaiga hawa walarushwa.Mkuu Honey K,
1. Mbona Kinana naye ana tuhuma fulani hivi zinachukuliwaje na CCM!
2. Mbona JK amekalia tuhuma mbalimbali, yaani
a) Deep Green Finance,
b) Mwananchi Gold,
c) Meremeta,
d) Rada
e) EPA - hapa CCM imeshindwa kujibu alipo "Marehemu" Daudi Balali
f) Richmond, nk, na alipitishwa kugombea uchaguzi mkuu 2010 na sasa hivi ameendelea kulea rushwa ambayo imeendelea kuitafuna CCM hadi kwenye mifupa?
3. Wewe unafiliri CCM ilivyo kwa sasa ina "moral authority" ya kupambana na rushwa? Maana ikifika kwenye kura za maoni tunashuhudia jinsi CCM inavyotembeza rushwa kwa wapiga kura na viongozi WENGI kama si wote wa CCM wametokana na rushwa!
kama m4c ni purely kwa ajili ya elimu ya uraia tupo pamoja sana lakini kama ni sehemu ya ile project yakuifanya nchi isitawalike kwa kufanya hila za hapa na pale ;mimi si pamoja nanyi.hivi unaweza kukumbuka ni nani aliekuwa amewadanganya watu wa mtwara kwamba gesi inaenda bagamoyo?comrade,comments zako nowdays zimeenda shule kidogo
endelea hivyo hivyo,najua muda si mrefu tutakuwa pamoja m4c lol
wewe unahisi hiyo k inawakililisha nini! Maana mtu anaetaka ban ya nini tumkingie mgongo.honey tumelewa ila k ahatuelewi weka wazi hiyo k ilitukutafakari
Kwa hakika sasa si siri tena siku za gamba kubwa CCM Edward Ngoyaye Lowassa a.k.a Fisadi wa Richmonduli ndani ya CCM zinahesabika.
Hii ni kutokana na ukweli kwamba kifikia tar 12/02/2013 Kamati Kuu ya CCM itakuwa imeundwa na baada ya kupata pigo kubwa kwa Makamu Mwenyekiti Mzee Mangula, Katibu Mkuu Kinana na Kurudishwa kwa adui yake mkubwa Nape basi pigo la mwisho kwa EL ni uundwaji wa CC ambao kwa vyanzo vya jikoni kabisa..hakuna mtu wake hata mmoja.
Ikumbukwe vikao vitatu vya mwanzo vya uchujaji majina ya urais ni Sekretarieti chini ya Kinana na Nape, Kamati ndogo ya Maadili chini ya Mangula na Kamati Kuu chini ya JK...na kote huku hakuna kupiga kura ni mjadala tu then maamuzi..
Haya niyasemayo yalimkuta Lowassa mwaka 1995 aliondolewa kwenye kinyang'anyiro bila kura, yalimkuta pia Malecela aliondolewa bila kufilishwa kwenye kura...historia itajirudia 2015.
Basi unakusudia kuwa mbio za Lowassa kugombea urais ziko ukingoni na sio kuweko kwake CCM, kwani hadi sasa wako wengi waliokwishaenguliwa (yeye mmojawapo) na bado wapo CCM.Kwa hakika sasa si siri tena siku za gamba kubwa CCM Edward Ngoyaye Lowassa a.k.a Fisadi wa Richmonduli ndani ya CCM zinahesabika.