southernboy
JF-Expert Member
- Sep 27, 2015
- 904
- 1,105
Habari wakuu. mimi naomba niulize kwani maana nmekuwa nikifatilia kalenda za ninaokuwa nao kwenye mahisiano ili wasipate mimba zisizo tarajia,,
๐๐๐๐๐ Namna nmecheka kwa sauti nahisi hadi Mbinguni wamenisikiakupata watoto wasio na anuani
Kama ni 28, means ovulation yake ni siku ya 14. Ongeza siku 4 nyuma, siku 4 mbele.ila kwa huyu sasa wa sasahivi ndio sielewi elewi maana ameniambia yeye mzunguko wake ni siku 28 na mini nikafuatilia nikaona ni kweli.
Sasa siku tuliyokutana ni siku ya 20 tokea aanze mzunguko wake na mimi nanavyojua ni kuanzia siku ya 10 hadi ya 17 ni za hatari kwahiyo nikaona tuko salama,na yeye haelewi kusoma kalenda mimi ndio nikampa somo,
Ila sasa zinakaribia siku 33 naona yupo tuu anadunda maana huwa lazima aniambie
kwahiyo mkuu inawezekana asiwe nayoKama ni 28, means ovulation yake ni siku ya 14. Ongeza siku 4 nyuma, siku 4 mbele.
Ya 20 bahati nasibu zake Mola.
๐๐๐๐๐ Namna nmecheka kwa sauti nahisi hadi Mbinguni wamenisikia
duuhAndaa hela ya kuanza Clinic, vile vipimo siku hizi ni hela.
Pia mnunulie prenatal tablets aanze mapema.
Hongera baba kijacho.
nimetumia sana hii nimeiangalia inaonesha siku ya 20 ni salama kabisa. sasa had leo sielewi hii inakuaje
nimetumia sana hii nimeiangalia inaonesha siku ya 20 ni salama kabisa. sasa had leo sielewi hii inakuaje
ni kweli mkuu , Ulivosema hajapata mambo yapo vizuri, ooh yule mzee wake nilishaanza kutafuta sehemu nzuri ya kukimbilia hapa tz.sahizi nitakuwa mstaarabuSiku ya 20 ni unlikely lakini sio kwamba haiwezekani kabisa
Kwa hiyo hutakiwi kusema siku ya 20 ni salama kabisa