Una umri gani? Umeshaanza kudaiwa kodi ya nyumba au school fees?Dakika chache zilizopita ilikuwa siku yangu ya kuzaliwa ila nna utaratibu wa kuacha tu siku ipite bila kufanya taratibu yoyote.
Lakini marafiki zangu leo wamenishangaza baada ya usiku kunitegea na kunifanyia sherehe, waliniita kimtego kama kuna dharura nkaenda kukuta wamepanga kila kitu aisee sikutegemea kabisa!
Nikauliza kwanini wameingia gharama, wakasema haijalishi upendo wao kwangu hauna lebo ya bei, tukio dogo la leo limenirudishia imani kidogo katika hii ubinadamu nilijua tumebaki magaidi tu,kumbe kuna watu wazuri bado wapo ndani ya dunia hii na wanajali.
Nawasihi msikate tamaa mlioumizwa kwenye mahusiano, yawe ya mapenzi au kindugu, jua ipo siku utakutana na watu wanaokujali na kuona thamani yako.
Hizi assumptions za kijinga hizi kwahiyo kudaiwa kodi ya nyumba ndio uzee au?Una umri gani? Umeshaanza kudaiwa kodi ya nyumba au school fees?
Miaka 10 ijayo ndio utakumbuka hili swali nililokuuliza.Hizi assumptions za kijinga hizi kwahiyo kudaiwa kodi ya nyumba ndio uzee au?
Kukujibu swali lako nilianza kulipa kodi za nyumba miaka niko chuoni huko na yeah nna responsibilities kibao pia
Mie jf toka nasoma primary juzi ndio nlijiunga rasmi nkathibitishwaLovelovie umejiunga JF mwaka jana wewe si ndio mwanafunzi aisee
Uamuzi binafsi😊Kwahiyo why not then mpak ujiunge juzi
Ahsante sana Joanah...watu wengi wangekuwa na mtazamo kama wako basi tungebahatikaIla JF members wanapenda nyuzi za masikitiko wakupe pole za kinafiki
Sasa kosa la mleta mada ni lipi?kushare furaha yake kwa kuoneshwa upendo na wanaomzunguka?
Alichofanyiwa inahusiana vipi na utoto/kutokuwa na majukumu?
Hongera bhana Jorge WIP
Hongera pia kwa kufikisha umri uliofikisha,Mungu akakujaalie kila lililo jema
Negative comments wala usizingatie