Mkuu acha uongo.Amen. JPM pia ni mtakatifu na tayari yuko peponi mbinguni kwa baba yake Voices From Within: Je, wajua yuko Peponi, Mbinguni, Kwa Baba yake? Why kumshutumu, kumsakama na kumsimanga? Aachwe apumzike kwa amani
P
Haiitaji kusamehewa coz tayari ni watakatifuWale wote waliotangulia mbele za Haki mwenyezi Mungu wa mbinguni awasamehe makosa yao Wastarehe kwa Amani amen!
Uwe unasoma na kuelewa!Haiitaji kusamehewa coz tayari ni watakatifu
AmeeeeeeeeeeeeeenMt Magufuli, utuombee. 🙏
Afande SeBoHadi uambiwe Ubongo Ni App utaanza kuutumia
Please Read between the lines(Don't read as a narration) Mathew 5: 44 - 45 ; you may start from 43 - 48 to get a more clearer pictureAnaeweza kututhibitishia kuwa ukiwaombea marehemu inasaidia, please am eager to know this.
Because am a Christian and I have never seen a Bible verse to prove this kind of prayers and wishes for the dead
Kwamba ukishakufa tayari unakuwa mtakatifu?Haiitaji kusamehewa coz tayari ni watakatifu
Please Read between the lines(Don't read as a narration) Mathew 5: 44 - 45 ; you may start from 43 - 48 to get a more clearer picture
Then try to identify your enemies and those who have persecuted you(List them). Then figure out how many of them (if possible) are still alive or they have passed away. Then
Jesus is instructing you to Pray for them Notwithstanding dead or alive.
Mkuu Demi, ikiwa hujawahi kuonja nanasi, mtu akikuletea embe na kukuambia ndio tunda tamu kuliko yote akaamini, mtu akakuambia nanasi ndio tunda tamu zaidi, utamuona muongo mpaka uonje nanasi, baada ya kuonja nanasi mtu akikuambia tende ni tamu kuliko nanasi utamuona muongo mpaka uonje tende, na hata baada ya kuonja tende, ukiambiwa asali ndio tamu zaidi utaona ni uongo mpaka utakapo onja asali.Mkuu acha uongo.
Uongo haukupendezi mbunge mtarajiwa.
Kwa vile JPM ni Mkatoliki na Wakatoliki wana taratibu zao mtu kuwa mtakatifu, hatua ya kwanza ni kutangazwa "mwenye heri" and it takes ages sometimes hata baada ya 100 years!. Hili la JPM kuwa yuko peponi sio langu na mimi nilisikia Voices From Within: Je, wajua yuko Peponi, Mbinguni, Kwa Baba yake? Why kumshutumu, kumsakama na kumsimanga? Aachwe apumzike kwa amaniMagufuli alikuwa Rais mzuri lakini kusema ni mtakatifu ni uongo wa wazi wazi.
Ile siku ya kiama ya ufufuko wa miili ni kwa wale watalaokufa siku hizo, lakini ukifa leo, unahukumiwa leo leo. Kule peponi hakuna mass, distance and time, siku moja ni kama miaka 1000 na miaka 1000 ni kama siku moja.Unasema yupo mbinguni kwa baba kivipi wakati mnasema kuna siku ya kiama ambapo wafu watafufuliwa ndo hukumu itoke kama ni kwenda motoni au mbinguni.
Pole sana, hii issue ya siku ya kiama na mbinguni na motoni, Mwalimu Mkuu wa Imani ya Kikristo Bwana Wetu Yesu Kristo mwenyewe ameifundishaMnatuchanganya tunachanganyikiwa halafu tukisema dini zina mambo ya hovyo na Mungu hayupo mnatushangaa.
Mungu wa mbinguni akubariki sana Pascal MayallaMkuu Demi, ikiwa hujawahi kuonja nanasi, mtu akikuletea embe na kukuambia ndio tunda tamu kuliko yote akaamini, mtu akakuambia nanasi ndio tunda tamu zaidi, utamuona muongo mpaka uonje nanasi, baada ya kuonja nanasi mtu akikuambia tende ni tamu kuliko nanasi utamuona muongo mpaka uonje tende, na hata baada ya kuonja tende, ukiambiwa asali ndio tamu zaidi utaona ni uongo mpaka utakapo onja asali.
Hata Galileo Galilei alipisema dunia ni duara, alihukumiwa kunyongwa na alinyongwa kwa kosa la kumkufuru Mungu wakidhani dunia ni bapa!.
Hivyo ninaposema hapa JPM yuko peponi mbinguni kwa Baba yake, nitaonekana muongo!, rukhsa kuniona muongo mpaka utakapo ujua ukweli.
Kwa vile JPM ni Mkatoliki na Wakatoliki wana taratibu zao mtu kuwa mtakatifu, hatua ya kwanza ni kutangazwa "mwenye heri" and it takes ages sometimes hata baada ya 100 years!. Hili la JPM kuwa yuko peponi sio langu na mimi nilisikia Voices From Within: Je, wajua yuko Peponi, Mbinguni, Kwa Baba yake? Why kumshutumu, kumsakama na kumsimanga? Aachwe apumzike kwa amani
Ile siku ya kiama ya ufufuko wa miili ni kwa wale watalaokufa siku hizo, lakini ukifa leo, unahukumiwa leo leo. Kule peponi hakuna mass, distance and time, siku moja ni kama miaka 1000 na miaka 1000 ni kama siku moja.
Pole sana, hii issue ya siku ya kiama na mbinguni na motoni, Mwalimu Mkuu wa Imani ya Kikristo Bwana Wetu Yesu Kristo mwenyewe ameifundisha
Mfano Wa Wafanyakazi Katika Shamba La Mizabibu
20 “Ufalme wa mbinguni unaweza kufananishwa na mtu mwenye shamba la mizabibu aliyeondoka alfajiri kwenda kutafuta vibarua wa kufanya kazi shambani kwake. 2 Wakapatana kuwa atawalipa msha hara wa kutwa, yaani dinari moja, akawapeleka shambani.
3 “Mnamo saa tatu akaondoka tena akawakuta watu wengine wamesimama sokoni bila kazi. 4 Akawaambia, ‘Ninyi pia nendeni mkafanye kazi katika shamba langu la mizabibu na nitawalipa haki yenu.’ Kwa hiyo wakaenda. 5 Mnamo saa sita na pia saa tisa alion doka tena akafanya hivyo hivyo. 6 Mnamo saa kumi na moja akaon doka tena akawakuta watu wengine bado wanazurura. Akawauliza, ‘Kwa nini mmesimama hapa kutwa nzima pasipo kufanya kazi?’ 7 Wakamjibu, ‘Ni kwa kuwa hakuna aliyetuajiri.’ Akawaambia, ‘Ninyi pia nendeni mkafanye kazi katika shamba langu la miza bibu.’
8 “Ilipofika jioni, yule mwenye shamba akamwita msimamizi wa vibarua akamwambia, ‘Waite wafanyakazi uwalipe ujira wao, ukian zia na wale walioajiriwa mwisho na kuishia na wale walioajiriwa kwanza.’ 9 Wale vibarua walioajiriwa mnamo saa kumi na moja, wakaja na kila mmoja wao akalipwa dinari moja. 10 Basi wale wal ioajiriwa kwanza walipofika, walidhani watalipwa zaidi. Lakini kila mmoja wao pia alipewa dinari moja. 11 Walipoipokea, wakaanza kumlalamikia yule mwenye shamba wakisema, 12 ‘Hawa watu walioajiriwa mwisho walifanya kazi kwa muda wa saa moja tu. Ime kuwaje wewe ukawalipa sawa na sisi ambao tumefanya kazi ngumu na kuchomwa na jua mchana kutwa?’
13 “Yule mwenye shamba akamjibu mmoja wao, ‘Rafiki, sija kudhulumu. Je, hatukupatana kwamba utafanya kazi kwa dinari moja? 14 Chukua haki yako uende. Mimi nimeamua kumlipa huyu mtu ali yeajiriwa mwisho sawa na wewe. 15 Je, siwezi kufanya nipendavyo na mali yangu? Au unaona wivu kwa kuwa nimekuwa mkarimu?’ 16 Hali kadhalika, wa mwisho watakuwa wa kwanza na wa kwanza watakuwa wa mwisho.”
Hivyo ndivyo ulivyo ufalme wa mbingu.
Pasco
AmenMungu wa mbinguni akubariki sana Pascal Mayalla
Mkuu Demi
Kwa vile JPM ni Mkatoliki na Wakatoliki wana taratibu zao mtu kuwa mtakatifu, hatua ya kwanza ni kutangazwa "mwenye heri" and it takes ages sometimes hata baada ya 100 years!. Hili la JPM kuwa yuko peponi sio langu na mimi nilisikia Voices From Within: Je, wajua yuko Peponi, Mbinguni, Kwa Baba yake? Why kumshutumu, kumsakama na kumsimanga? Aachwe apumzike kwa amani
Hakuna process yoyote ya kumtangaza JPM kuwa Mwenye Heri iliyosha anzishwaUmesema kwamba wakatoliki wana taratibu zao, nakubali.
Je kuna utaratibu wowote hadi sasa umeanza kufanywa ili atangazwe mwenye heri?
Ili mtu atangazwe kuwa Mwenye Heri vitu vifuatavyo lazima vifanyikeNa ni vigezo vipi hutumika hadi watu waone huyu anafaa kuwa mwenye heri?
Kwenye mada zangu zote za kuhusu voices from within, huwa naweka angalizo muhimu kuhusu sauti hizi kama ni sauti ya Mungu ama mungu!. Usahihi wa hizi voices unapimwa sio kwa sauti niliyosikia, bali kwa matokeo ya sauti hizo ambazo sasa mimi naziita ni kauli umba! "Ombeni Mtapewa", "Tafuteni Mtapata", "Bisheni Hodi Mtafunguliwa" Je Wajua Kuna "Kauli" na "Kauli Umba" Ambazo Huumba?. Shuhudia..Na hiyo voice from within ambayo nimeelewa imetoka ndani mwako inakuaje na uhalali hadi wengi tuikubali kuwa ipo sahihi?
Hapana kila mtu ana haki ya kusikilizwa na kutopuuzwa, hata mimi na hizi voices from within zangu, kuna mara kibao zime fail!.Kila mtu ana mtazamo wake kuhusu Magufuli...je na voices from within za wengine zipuuzwe? Ya kwako tu ndo iwe sahihi?
Huu ni msimamo wako na nauheshimu!. Ila kwa sisi Wakatoliki, wengi wa ma Papa wetu ni watakatifu, Papa ni kiongozi wa kisiasa wa nchi ndogo kuliko nchi zote duniani, nchi ya Vatican City.Hakuna mwanasiasa anayefaa kuwa mtakatifu, hakuna hata mmoja hapa duniani.
Ili mtu kuwa mtakatifu haimaanishi mtu huyo ni malaika!. JPM hakwa malaika na wala hakuna process yoyote ya kumtangaza mtakatifu ila kwa sasa mahali alipo ni Mbinguni kwa Baba yake, yuko na Baba yake.Magufuli alitimiza wajibu wake ipasavyo ingawa pia alikuwa na mapungufu mengine mengi tu ya wazi wazi. Hakuwa na utakatifu wowote hapa duniani.
Its true maandishi yangu mengi ni hoja tuu za kufikiruka, kwa vile nyingi huishia kuja kutokea kweli mfano mzuri ni hii ya 2014 Elections 2015 - Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe MagufuliUmeandika mambo mengi yote ni hadithi za kufikirika.
Kuna issues za kutoa majibu simple and to the point kwa maneno machache, na kuna issues zinazohitaji ufafanuzi wa kina, ukiniuliza issue simple inayohitaji maneno machache, nitakujibu simple, lakini ukiniuliza complex issue kama hii ya utakatifu wa JPM, hakuna jibu simple ni hapa nimefungua darasa sio kwako bali kwa wengine. Hivyo sio lazima usome yote, wewe just mega kile kidogo tuu utakachoweza kutafuna na kumeza, kingine acha kabla hujatoka kwenye reli.Tafadhali nijibu simple kwa maneno machache yanayoeleweka.
Unaleta hadithi nyingi kwa wakati mmoja ili kunitoa kwenye reli.
Duh kweli wewe mwanasiasa, haya bwana😅. Nashukuru kwa hoja zako nzuri nimejifunza kitu. Barikiwa.Hakuna process yoyote ya kumtangaza JPM kuwa Mwenye Heri iliyosha anzishwa
Ili mtu atangazwe kuwa Mwenye Heri vitu vifuatavyo lazima vifanyike
- Mhusika awe ni amekufa akiwa ni Mkatoliki na amezikwa Kikatoliki. - hapa JPM ana fit maana amekufa na kuzikwa Kikatoliki.
- Anatakiwa awe amefanya tendo lolote la ushujaa wa kuutetea Ukatoliki, awe ni mcha Mungu, ameishi kwenye maadili ya Ukatoliki ni mtu wa sala na unyenyekevu - JPM kote huku amefiti, amejenga kanisa Chato kwa fedha zake, kiwanja chake, eneo lake na kulitoa bure kwa wana Chato. Alikuwa mcha Mungu, anasali sana na ni mtu mnyenyekevu sana mbele ya Mungu, kanisa na viongozi wa kanisa. Japo alipoingia urais alikuwa jeuri na kiburi na katili, baadae alibadilika na kuendelea kuwa ni kale lale Kajoni ka Chato! "Mimi ni Mwenzenu Hapa, Sijabadilika ni Yule Yule "KaJoni" - Ni Maneno Simple, Humble and Down to Earth Yenye Maana Kubwa!
- Awe amefanya tendo la kuhatarisha uhai wake na kufupisha maisha yake kwa sababu ya upendo. - hapa pia JPM anaweza kuwa ana fiti, kwa sababu JPM aliipenda Tanzania kwa dhati, kufuatia upendo huo kwa taifa lake, sisi waona mbali tukaona kuhusu mipango miovu inayopangwa kutishia maisha yake na tukaisema humu Alipobadili sheria ya madini, alitangaza vita kubwa na watu fulani, tukauliza humu Zita Act Retroactively? Tutavunja Mikataba Yote Iliyopo? Can we Stand? Do we have the Guts? wakubwa wakaanza kumpangia njama na kumtafutia sababu, tukaonya tena humu US/EU Walimtoa Saadam, Ghadafi na Mugabe? Je, wanapanga kumtoa Rais Magufuli madarakani? Watanzania wazalendo tutakubali? na kama haitoshi tukaripoti humu mipango na harakati hizi dhidi ya JPM Security alert kwa Serikali yetu: Tuwe makini sana na Marekani, kuna kitu kinapangwa halafu wajifanye walionya kabla. Je, wanapanga kutu-Libya?, ndipo March 27 Taifa likatangaziwa what happened to JPM baada ya what realy happened ku happen!. Hivyo akitokea rais mwingine aka order inquest ya kifo cha JPM ifanyike, usikute huyu ni Mtakatifu kabisa!.
- Njia hizo zote tatu zinatakiwa kuthibitishwa na muujiza mmoja uliofanywa na Mungu kwa maombezi ya mtumishi wake baada ya kifo chake. Mpaka sasa kwa Tanzania process hii imeanza kwa watu wawili tuu, Mwalimu Nyerere na Kardinali Rugambwa.
Kwenye mada zangu zote za kuhusu voices from within, huwa naweka angalizo muhimu kuhusu sauti hizi kama ni sauti ya Mungu ama mungu!. Usahihi wa hizi voices unapimwa sio kwa sauti niliyosikia, bali kwa matokeo ya sauti hizo ambazo sasa mimi naziita ni kauli umba! "Ombeni Mtapewa", "Tafuteni Mtapata", "Bisheni Hodi Mtafunguliwa" Je Wajua Kuna "Kauli" na "Kauli Umba" Ambazo Huumba?. Shuhudia..
Hapana kila mtu ana haki ya kusikilizwa na kutopuuzwa, hata mimi na hizi voices from within zangu, kuna mara kibao zime fail!.
Huu ni msimamo wako na nauheshimu!. Ila kwa sisi Wakatoliki, wengi wa ma Papa wetu ni watakatifu, Papa ni kiongozi wa kisiasa wa nchi ndogo kuliko nchi zote duniani, nchi ya Vatican City.
Ili mtu kuwa mtakatifu haimaanishi mtu huyo ni malaika!. JPM hakwa malaika na wala hakuna process yoyote ya kumtangaza mtakatifu ila kwa sasa mahali alipo ni Mbinguni kwa Baba yake, yuko na Baba yake.
Its true maandishi yangu mengi ni hoja tuu za kufikiruka, kwa vile nyingi huishia kuja kutokea kweli mfano mzuri ni hii ya 2014 Elections 2015 - Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli
Kwa 2025 ni hii Voices From Within: Japo 2025 Tumepanga Twende na Mwanamke, 2025 Mama Akabidhi Kwanza Mwanamume, Kisha 2030 Ndipo Aje Mwanamke anza kuiweka akiba, halafu 2025 tutakumbushana!.
Kuna issues za kutoa majibu simple and to the point kwa maneno machache, na kuna issues zinazohitaji ufafanuzi wa kina, ukiniuliza issue simple inayohitaji maneno machache, nitakujibu simple, lakini ukiniuliza complex issue kama hii ya utakatifu wa JPM, hakuna jibu simple ni hapa nimefungua darasa sio kwako bali kwa wengine. Hivyo sio lazima usome yote, wewe just mega kile kidogo tuu utakachoweza kutafuna na kumeza, kingine acha kabla hujatoka kwenye reli.
P